March 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.
Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.
Source : ITV Tanzania
Mungu hajaribiwi wala hadhihakiwi kama kweli ningekuwa na fedha ningelijenga daraja jipya kwa ajili sina fedha na nili lazimika kuweka mradi eneo ambalo siyo inabidi haya yanayo tokea yatokee. Haina shida ni upepo tu nao utapita
