Barabara imejaa maji Tanga

Barabara imejaa maji Tanga

Gari nyingi zimelala Korogwe pale stand..kimsingi njia hazipitiki,siyo ya kupitia handeni wala ya kunyoosha kwenda segera!

Mvua bado inakunya..hata muda huu bado inashuka tena kubwa..bado sijaona juhudi za serikali kwenye hili suala..au kwakua barabara hatutumii sana mko busy na anga..? Hawa wanyonge mnawazungumzia kila siku hawa watumia barabara mnatusaidiaje?
 
Wenye uwezo wanakwea pipa,wanyonge wanapambana na hali yao
 
Gari nyingi zimelala Korogwe pale stand..kimsingi njia hazipitiki,siyo ya kupitia handeni wala ya kunyoosha kwenda segera!

Mvua bado inakunya..hata muda huu bado inashuka tena kubwa..bado sijaona juhudi za serikali kwenye hili suala..au kwakua barabara hatutumii sana mko busy na anga..? Hawa wanyonge mnawazungumzia kila siku hawa watumia barabara mnatusaidiaje?
Hali kwa hiyo bado tete??
 
Pangekuwa ni mjini mjini unapeleeka helicopter kuvusha wenye haraka kisha wanapanda gari nyingine na kuendelea na safari.

Hukosi millioni kadhaa.
 
Gari nyingi zimelala Korogwe pale stand..kimsingi njia hazipitiki,siyo ya kupitia handeni wala ya kunyoosha kwenda segera!

Mvua bado inakunya..hata muda huu bado inashuka tena kubwa..bado sijaona juhudi za serikali kwenye hili suala..au kwakua barabara hatutumii sana mko busy na anga..? Hawa wanyonge mnawazungumzia kila siku hawa watumia barabara mnatusaidiaje?
Hizi habari sio za kusifu na kuabudu ndo maana hazionekani kwenye media.

Mahela yanatumika kwenye ujinga bila kuangalia vitu vya muhimu.
 
hivi barabara kumbe zinajaaga maji.....
Barabara nyingi zilizojengwa 2010-2015 ziko chini ya kiwango kabisa. Wakati huo ndio 10% ilipanda daraja na kuwa 20%.
Sijui nani alikuwa mwenye dhamana ya barabara!
 
255673365075_status_7b8a4b790477492cbc6520e04fbca741.jpg
255673365075_status_a200cca03ef444b88e4e13399affaa32.jpg
 
Ipo barabara ya handeni unatokea mkati. Kwa wanaotoka arusha dar or dar arusha, au tanga arusha au arusha tanga.

Ukitoa miundombinu mibovu labda, natural calamities huwa haziepukiki.
Hii nayo nasikia kwishney kwa mafuriko/maji.
 
Miaka 70 ya uhuru bado miundombinu ya barabara inasumbua.
 
mliopo eneo la tukio tunaomba updates kwa sisi tulio njian kuja eneo hilo..nn kinaendelea?
 
Hivi hawa JWTZ si ndio kazi yao hiyo au ni mpaka Makonda awape kazi ya kufanya usafi
 
Back
Top Bottom