Kwa hiyo unatuambia sisi kwani sisi ndo tumeleta mvua? Au unataka tuje tuyanywe hayo maji ili nyie mpite? Wazigua mna tabu sana nyie[emoji3]Kuna Magari yamekwama huko kutokana na barabara kujaa maji. Sijaona chombo chochote kimeripoti au wameshawachoka.