Barabara imejaa maji Tanga

Barabara imejaa maji Tanga

Inashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
Pale yupo Gondwe na unajua alivaa manguo ya Jeshi akaenda pale na mbwembwe kibao na akasema washarekebisha sasa wanaogopa wakiripoti watamuharibia mdau wao wa habati
 
Inashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
Yani hilo ndio jambo la kushangaza na nchi yetu hii
 
Kuna Magari yamekwama huko kutokana na barabara kujaa maji. Sijaona chombo chochote kimeripoti au wameshawachoka.

Picha huchukua na kutoa ujumbe wenye kueleweka zaidi kuliko herufi milioni na zaidi
 
Ipo barabara ya handeni unatokea mkati. Kwa wanaotoka arusha dar or dar arusha, au tanga arusha au arusha tanga.

Ukitoa miundombinu mibovu labda, natural calamities huwa haziepukiki.
Huko Handeni daraja likevunjika
 
Ipo barabara ya handeni unatokea mkati. Kwa wanaotoka arusha dar or dar arusha, au tanga arusha au arusha tanga.

Ukitoa miundombinu mibovu labda, natural calamities huwa haziepukiki.
Daraja la barabara ya Handeni-korogwe limebomoka tangu jana.
Kwahiyo njia ya Handeni haipitiki.
Daraja la Mandera ambalo ni Korogwe-Segera limejaa maji na kuna dalili limekua eroded maana chini hapaonekani.

Kifupi kama uko Korogwe huwezi kwenda Handeni, huwezi kwenda Tanga wala huwezi kwenda Dar.
 
Ni hatari
 
subiri tukapokee ndege yetu mpya kwanza.
Huko tutakuja kuwarekebishia hata wiki ijayo
 
Inashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
Kwani hizi habari zinaleta sifa na utukufu?
 
Tupo bize na dreamlinear.

Miundombinu kwa key areas mibovu. Aibu sana.
 
Kwa maana hiyo abiria leo pia watalala huko huko?
 
Sry mkuu ukiwa Dar unaweza fika Handeni?

Back
Top Bottom