Barabara imejaa maji Tanga

Barabara imejaa maji Tanga

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,374
Kuna Magari yamekwama huko kutokana na barabara kujaa maji. Sijaona chombo chochote kimeripoti au wameshawachoka.
 
...kuna ndugu yangu katoka arusha leo asubuhi amekwama hapo korogwe wameambiwa daraja karibu na Muheza limetitia kutoka na maporomoko
Hadi niandikapo ujumbe huu saa mbili kasoro kumi bado wapo korogwe na wameambiwa huenda wakalala hapo.
Ninaomba kama kuna mwenye taarifa za ziada kuhusu hili aweke hapa...
 
Bado wapo njiani wanajeshi ndio wanajaribu kutafuta njia mbadala
 
IMG-20191026-WA0005.jpg
IMG-20191026-WA0004.jpg
IMG-20191026-WA0003.jpg
IMG-20191026-WA0002.jpg
IMG-20191026-WA0001.jpg
IMG-20191026-WA0000.jpg
 
Kuna Magari yamekwama huko kutokana na barabara kujaa maji. Sijaona chombo chochote kimeripoti au wameshawachoka.
Nimekasirika kinoma nimeamka sa kumi usiku kujiandaa na safari ya arusha nimefika msamvu ndo nimekuta hakuna gari ya arusha , mpaka daraja litakapo tengenezwa au kulipa 40,0000 kuzungukia dodoma nimerudi zangu nyumbani
 
waliotoka Dar-Arusha na wa Arusha-Dar wote wamelala njiani wanasubiri madaraja yatengenezwe
Ipo barabara ya handeni unatokea mkati. Kwa wanaotoka arusha dar or dar arusha, au tanga arusha au arusha tanga.

Ukitoa miundombinu mibovu labda, natural calamities huwa haziepukiki.
 
Nasikia na hii pia haipitiki.
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Ipo barabara ya handeni unatokea mkati. Kwa wanaotoka arusha dar or dar arusha, au tanga arusha au arusha tanga.

Ukitoa miundombinu mibovu labda, natural calamities huwa haziepukiki.
Barabara hii pia iliharibika na magari yote yalilazimika kurudi
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Back
Top Bottom