Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 801
- 867
Hauwezi kumpangia mtu namna ya kutumia au kuwekeza pesa zake, kila mtu ana choices zake na ana priorities zake.MAAJABU YA BARA LA AFRIKA.
"Tajiri yuko tayari kutoa mamilioni kufadhili sherehe yako ya kijinga, lakini ukimwomba TZS 500,000 ya mtaji, anapata 'stroke' ya ghafla.
Ni hapa pekee ambapo unaweza kuwa 'Most Wanted' (unatafutwa sana), si kwa sababu wewe ni jambazi, bali kwa sababu CV zako zimejaa kila ofisi hadi walinzi wanakujua kwa jina. Unasubiri 'fursa' kwa miaka 20 mpaka mvi zinaanza kuandika CV kichwani mwako, huku bado ukiwa umebeba bahasha ya kaki!"β Alloyce, P.R.
Hii inaumiza sana, ila watu wanaanza kubadilika taratibu. Kuna koo sasa hivi mtu akilazwa ndani ya siku kadhaa wanajichangisha na kutoa msaada kwa mgonjwa.Ambacho kinanishangaza pia ni pale mgonjwa anaumwa akihitaji matibabu, akishafariki kwa kukosa huduma kwa wakati, ndipo utashangaa watu wanavyo gharamikia msiba, mwingine atasema chakula juu yangu, mwingine vinywaji, mwingine usafiri... kila mmoja akijitia ana uchungu sana na marehemu... mwingine atajaza gari lake mafuta hata ya milioni kisa tu asindikize msiba kijijini kwa marehemu...
Kuna mzee alifariki wakati yupo hoi anaumwa familia ilipitia nyakati ngumu kiuchumi mpka pesa ya kuendelea kumtibia ilikosekana maana ugonjwa aliokua nao watu wa bima walikataa kumchangia japo mwanzo walimchangia ila baadae walisitishaHii inaumiza sana, ila watu wanaanza kubadilika taratibu. Kuna koo sasa hivi mtu akilazwa ndani ya siku kadhaa wanajichangisha na kutoa msaada kwa mgonjwa.
Hivi wewe, ulishaandika proposal ukapeleka kwa individual person or company hapa Afrika, alafu wakazingatia na wewe ukanufaika?Ukiwa na idea ya biashara peleka proposal ikiwezekana mfanye wote biashara acha ubinafsi. Wenye pesa wanaombwa na watu kila siku na wewe ukiwa mmoja wao kwahiyo kuwa tofauti kidogo atakuona useful. Pesa inahitaji discipline sio kugawa hovyo hovyo tu
Shida ni ipo hivi mtu akiwa hai anakua na maamuzi ya hiki nataka au hiki sitaki mwingine akiwa hai kuna watu walikua wanataka kumsaidia kwa namna fulani ila yeye kwa sababu ya kuona aibu anasema hapana sitaki kusaidiwa na fulani acheni nitapambana mwenyewe mpaka nitatoboa sasa hapo ndipo shida inapokuja na akishakufa kunakua tena hakuna pingamizi kwa hio waliobaki watafanya bila kusikiliza maamuzi yake kwa sababu maiti hua haiongei na maiti haina ubishi utaipeleka popote hata isipopatakaAmbacho kinanishangaza pia ni pale mgonjwa anaumwa akihitaji matibabu, akishafariki kwa kukosa huduma kwa wakati, ndipo utashangaa watu wanavyo gharamikia msiba, mwingine atasema chakula juu yangu, mwingine vinywaji, mwingine usafiri... kila mmoja akijitia ana uchungu sana na marehemu... mwingine atajaza gari lake mafuta hata ya milioni kisa tu asindikize msiba kijijini kwa marehemu...
Kuna watu wanajizima data kabisaaa, mtu aumwe ushindwe kumsaidia akiwa anaumwa, anafariki unakuja na gari la hadhi kinoma na vitu kama gunia la mchele/ viroba vya sukari, ivi uyo mtu anapata wapi ujasiri wote huo ilihal unakuta alipewa na taarifa kuna mgonjwa, sijui ni shida ya akili !Kuna mzee alifariki wakati yupo hoi anaumwa familia ilipitia nyakati ngumu kiuchumi mpka pesa ya kuendelea kumtibia ilikosekana maana ugonjwa aliokua nao watu wa bima walikataa kumchangia japo mwanzo walimchangia ila baadae walisitisha
Mzee akarudishwa nyumbani huku familia imeishiwa basi baada ya mda mzee yule akafariki
Ajabu sasa baada ya taarifa za msiba kila mtu alikua shock kumbe mzee ana ndugu wa kumwaga wenye pesa
Kila baada ya mda fulani inatinga gari hapo viroba vya mchele vinashushwa sijui viroba vya sukari mazagazaga kama yote aisee
Na wengi ambao wanaleta ubishi huo ni walala hoi. Anategemea afanye kazi alipwe ila anadhulumiwa kila siku na mwenye utajiri.Kuna watu wanajizima data kabisaaa, mtu aumwe ushindwe kumsaidia akiwa anaumwa, anafariki unakuja na gari la hadhi kinoma na vitu kama gunia la mchele/ viroba vya sukari, ivi uyo mtu anapata wapi ujasiri wote huo ilihal unakuta alipewa na taarifa kuna mgonjwa, sijui ni shida ya akili !
Kama kuna watu wanapendekeza kumsaidia mtu kwa ajili ya kujiinua kiuchumi ni 1 kati ya 1000 mkuu au isiwepo kabisa Afrika hii.ππShida ni ipo hivi mtu akiwa hai anakua na maamuzi ya hiki nataka au hiki sitaki mwingine akiwa hai kuna watu walikua wanataka kumsaidia kwa namna fulani ila yeye kwa sababu ya kuona aibu anasema hapana sitaki kusaidiwa na fulani acheni nitapambana mwenyewe mpaka nitatoboa sasa hapo ndipo shida inapokuja na akishakufa kunakua tena hakuna pingamizi kwa hio waliobaki watafanya bila kusikiliza maamuzi yake kwa sababu maiti hua haiongei na maiti haina ubishi utaipeleka popote hata isipopataka
Hata mimi nashindwa kuelewaKuna watu wanajizima data kabisaaa, mtu aumwe ushindwe kumsaidia akiwa anaumwa, anafariki unakuja na gari la hadhi kinoma na vitu kama gunia la mchele/ viroba vya sukari, ivi uyo mtu anapata wapi ujasiri wote huo ilihal unakuta alipewa na taarifa kuna mgonjwa, sijui ni shida ya akili !
Toa hiyo asilimia 1 weka 0Kama kuna watu wanapendekeza kumsaidia mtu kwa ajili ya kujiinua kiuchumi ni 1 kati ya 1000 mkuu au isiwepo kabisa Afrika hii.ππ
Nimeitoa mkuuπππToa hiyo asilimia 1 weka 0
Toa kabisa tuache kujifarijiNimeitoa mkuuπππ
Kweli kabisa. Afrika tumekuzwa na ukatili, ulimbukeni, maonyesho ya hovyo, kutaka kundi fulani liabudu wenye nacho. Ukitaka kujiinua unapigwa mawe hadi unabakia kuwa omba-omba. Bara la laana hili.Toa kabisa tuache kujifariji
Kwa sababu huku africa hakuna kitu kama hicho na ikitokea ujue huyo mtu anajua atanufaika na wewe