Bara bara ya zege mradi wa mabasi ya haraka

Bara bara ya zege mradi wa mabasi ya haraka

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
2012-12-13 14.04.29.jpg
2012-12-13 14.05.44.jpg

2012-12-13 14.16.47.jpg
 
Attachments

  • 2012-12-13 14.05.56.jpg
    2012-12-13 14.05.56.jpg
    653.8 KB · Views: 171
Mimi bado haingii akilini kwa haya mabus kuwa na vituo na kupita katikati ya lane nne (mbili kushoto, mbili kulia). Je utaratibu gani umefanywa kuhakikisha watoto wadogo, wagonjwa na vikongwe wanasaidiwa kuvuuka barabara salama kwenda kupanda / mara baada ya kushushwa na mabus haya???

DART_bhnsb.png
 
Mama Mdogo, hasa ukizingatia kuwa zebra bongo ni mapambo tu na madereva hawaziheshimu kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi bado haingii akilini kwa haya mabus kuwa na vituo na kupita katikati ya lane nne (mbili kushoto, mbili kulia). Je utaratibu gani umefanywa kuhakikisha watoto wadogo, wagonjwa na vikongwe wanasaidiwa kuvuuka barabara salama kwenda kupanda / mara baada ya kushushwa na mabus haya???

View attachment 76816
HAta kama ingekuwa barabara ya peke yake still kuna ambao wangehitaji kuvuka barabara either wakati wa kwenda ama kurudi. So issue ya kuvuka barabara isiwe kigezo cha maamuzi. Taratibu lakini tunastaarabika, mara nyingi tu naona watu wanapisha watoto na waenda kwa miguu.
 
Kuna tofauti ya watu kuvuka kwenda upande mmoja kwenda wa pili, na hapa mtu anataka kwenda kuwahi bus au kuwahi shughuli. We subiri mradi uzinduliwe na atakapogongwa ndugu yako ndiyo utatia akili. Kumbuka kwamba pale serikali ilipoleta utaratibu wa njia tatu bila ushahidi wa kitaalamu matokeo yake kulikuwa na ajali za hapa na pale: magari kugongana na watembea kwa miguu kugongwa, na watu walipoteza maisha. Na bado serikali hadi leo haijatoa tangazo la kufuta utaratibu huu, it had just died naturally!!!
 
Naweza hata kugongwa mimi ama wewe pia, barabarani hakuna mjanja. Tuombe isitupate.
Unaweza usiwe unawahi popote na uiagongwa vile vile. Hujatoa suluhisho, ulidhani rbt ipitie wapi sasa ambapo wanaowahi hawatagomgwa? Maoni yangu ni kushughulikia reckless driving, ndugu yangu alifuatwa na gari mje kabisa ya barabara na akafariki.
 
Kuna tofauti ya watu kuvuka kwenda upande mmoja kwenda wa pili, na hapa mtu anataka kwenda kuwahi bus au kuwahi shughuli. We subiri mradi uzinduliwe na atakapogongwa ndugu yako ndiyo utatia akili. Kumbuka kwamba pale serikali ilipoleta utaratibu wa njia tatu bila ushahidi wa kitaalamu matokeo yake kulikuwa na ajali za hapa na pale: magari kugongana na watembea kwa miguu kugongwa, na watu walipoteza maisha. Na bado serikali hadi leo haijatoa tangazo la kufuta utaratibu huu, it had just died naturally!!!

Kuvuka barabara? Sioni tatizo kubwa hapa....hata sasa barabara zinavukwa....tena labda itakua nafuu, kwa kuvuka,nusu ya barabara kwenda katikati.
 
HAta kama ingekuwa barabara ya peke yake still kuna ambao wangehitaji kuvuka barabara either wakati wa kwenda ama kurudi. So issue ya kuvuka barabara isiwe kigezo cha maamuzi. Taratibu lakini tunastaarabika, mara nyingi tu naona watu wanapisha watoto na waenda kwa miguu.

Hawa wameiga barabara za wenzetu,kwa hiyo wanatakiwa wajenge sehemu ya kuibukia hapo katikati, iwe kwa kuzama chini ya barabara inayovukwa au kwa kupanda juu ya barabara hiyo, nia Nadhani ni kupunguza msongamano kwa Hali yoyote. Itakuwa ajabu wasipofanya hivyo, kwani watasababisha misongamano inayosababishwa na watu kuvuka au kugongwa kwa pande zote mbili. Picha ya Mama mdogo kulia kabisa inaonyesha sehemu ya wanaotoka kwenye mabasi wanatakiwa kupanda juu kuvuka.
 
inawezekana hayo ni maeneo korofi lazima waanze na zege

mkuu barabara za zege huwa zipo sana katika nchi zilizosonga mbele...mi mwenyewe nimesoma mbele huko chuoni kwetu 50% ya barabara za ndani ilikua ni zege.
 
HAta kama ingekuwa barabara ya peke yake still kuna ambao wangehitaji kuvuka barabara either wakati wa kwenda ama kurudi. So issue ya kuvuka barabara isiwe kigezo cha maamuzi. Taratibu lakini tunastaarabika, mara nyingi tu naona watu wanapisha watoto na waenda kwa miguu.

Msibishane sana....kwa wenzetu jinsi nilivyoona mfano Hong Kong. kwenye vituo vya mabasi pia kuna taa za kuruhusu watu kuvuka au magari kuendelea kupita.
Sasa hili la taa naona hata hapa kwetu bila shaka litatumika.
Au la hasha huwa kuna daraja za juu kama Manzese au zile njia za chini ya barabara...Hii njia sidhani sana kama inaweza tumika hapa Dar.
 
inawezekana hayo ni maeneo korofi lazima waanze na zege

TUMECHELEWA...

21 Reasons Why Concrete is the Best Pavement Choice:

1.BEST LONG-TERM VALUE
Concrete pavements are by far the best long-term value because of their longer life expectancies, durability and minimal maintenance requirements.

2.CONCRETE STAYS SMOOTHER LONGER
The rigidity of concrete pavements allows them to keep their smooth riding surface long after construction. Smoother pavements create safer, more comfortable riding surfaces.

3.CONCRETE IS SAFER
Concrete does not rut, so there is no hydroplaning and stress on an automobile's steering system. Concrete reflects 33 to 50 percent more light than asphalt, especially important for driving safely at night.

4.RIGID FOR LIFE
Concrete actually gets stronger over time. After its first month in place, concrete continues to slowly gain ten percent strength during its life.

5.CONCRETE ROADS LAST LONGER , ARE MORE DURABLE
Concrete can best withstand the heaviest traffic loads. There's no need to worry about ruts, shoving or washboard effects possible with asphalt pavements.

6.BEST TRACTION GRIP
Concrete pavements are easily textured during construction to create a surface that provides superior traction and a quiet ride.

7.OUTLASTS FLEXIBLE MATERIALS Depending on the system requirements, concrete pavements can be designed to last 40 years and more, thus making concrete the best long-term pavement solution.

8.EXCEEDS ITS OWN LIFE EXPECTANCY
Concrete pavements frequently outlast both their designed life expectancy and traffic loads.

9.EASY TO REPAIR
The durability of concrete minimizes the need for extensive repairs or annual maintenance. When repairs are necessary, they are typically smaller in scope than asphalt pavements.

10.RAPID PAVING
Surprisingly, concrete pavement can be built and open to traffic in as little as 12 hours.

11.IDEAL FOR DISTRESSED ASPHALT
Whitetopping--placing a layer of standard concrete over existing asphalt surfaces, or, Ultra Thin Whitetopping--a process of placing a thin layer of fiber-reinforced concrete over prepared asphalt, are cost-effective, expedient methods of rehabilitating distressed asphalt pavements.

12.BEST CHOICE FOR WORN CONCRETE
Restoration techniques can extend the life of concrete pavements up to nine times their original design life.

13.CONCRETE ROADS SAVE FUEL
Concrete's rigid surface makes it easier for wheels to roll. That is fuel savings.

14.BEST VISIBILITY, SAFETY AND SAVINGS
Because concrete reflects light, it increases visibility (thus SAFETY), and can save on street lighting costs and the number of street lights could be reduced by one-third when the streets were made of concrete. This saves kilowatts and taxpayer shillings.

15.CONCRETE IS LESS EXPENSIVE
Concrete pavements deliver considerable savings for both taxpayers and governments. Consider these documented facts. Concrete pavements:
* Typically cost 25 to 50 percent less than asphalt to maintain over the years.
* Have an average life of 30 to 35 years.
* Because of reflectivity, require far less lighting, thereby reducing the costs of installation and maintaining street lighting.
* Lower maintenance costs for car owners.
* Require less annual maintenance, therefore, less time is lost in traffic jams caused by road repairs.
* Make it unnecessary to impose weight restrictions so reducing weighbridge installations.

16.CONCRETE IS ENVIRONMENTALLY FRIENDLY
The useful life of a concrete road is 40 years. When it is replaced, the old surface can be crushed and used in the new road. Modern concrete roads are very smooth-riding, energy-saving, cooler, and quiet.

17. CONCRETE IS THE BEST LIFE-CYCLE-COST CHOICE
Life-Cycle Cost Analysis is a tool that brings together all of the information needed to make an educated choice: initial investment, anticipated service life, overlay and maintenance costs over the roadway's life, the value of money saved as well as spent.

18. CONCRETE PAVEMENTS ARE RECYCLABLE
Concrete pavements can be reused-both for road surfaces and bases. The entire operation can be accomplished on-site. This keeps the nation's landfills free of highway rubble.

19. CONCRETE PAVEMENTS ARE COOL
In urban areas, concrete pavements, together with trees, can reduce temperatures by as much as ten degrees! Lessening the need for air conditioning, this means huge energy/dollar savings for urban areas

20. GOOD FOR TANZANIA
The concrete and cement industry will generate significant revenue annually for the economy.

21.GOOD FOR THE TAXPAYER
When a fair and balanced pavement program is allowed to exist, competition increases and the unit costs of both concrete and asphalt decrease. Competition means that more of your hard-earned tax shillings are spent on the pavements that you drive on.

Mama mdogo hoja yako inanitia wasiwasi. Una maana madereva wa Tanzania ni watu wasioweza kuelimika na kuheshimu zebra? Wasimamizi wa sheria pia hawawezi kusimamia hili? Mama mdogo unatukatisha tamaa!

Sent from my iPhone
 
Back
Top Bottom