MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
Mimi bado haingii akilini kwa haya mabus kuwa na vituo na kupita katikati ya lane nne (mbili kushoto, mbili kulia). Je utaratibu gani umefanywa kuhakikisha watoto wadogo, wagonjwa na vikongwe wanasaidiwa kuvuuka barabara salama kwenda kupanda / mara baada ya kushushwa na mabus haya???
View attachment 76816
Mama Mdogo, kuwa kuna Ngazi za juu, kama picha inavyo onyesha upande wa kulia au kama zile za Pale Mazense Dar, Ingawa nilikuwa pale kabla hazijajengwa, that is how they do it, in contrast, wanachimba chini na kuna kuwa na underpath kama tunnels. So huwa hakuma Zebra Lines. Hii yote ni kupungiza foleni kwa kuweta taa. Mfano mwingine ni ule wa fyl-overs, sababu ni hizo hizo kupunguza foleni zinato tokana na T Lights ambao zimepitwa na wakati katika miji fulani fulani.