Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
Kino pameoza jamani.Sahemu zote nitakaa ila sio kule! Japo Magomeni nako si salama kihivyo ila afadhali.
ndo kwetu huko nilikokulia ila toka mume wangu hataki ht askie nimeenda kusalimia marafiki
na hv mdingi kahamia nje ya mji
weeee...nna miaka km miwili sijatia maguuu..
na mwakani nahamia dodoma rasmi
dar bwana hasa kino clan maluuni watupu
mi naijua vizuri kino clan