Bar ya Lady Jaydee kufungwa, mwenyewe afunguka

Bar ya Lady Jaydee kufungwa, mwenyewe afunguka

Ila Clouds wamezalisha mashoga na wasagaji.

Kuna account Insta nasikia inamilikiwa na dada D....yaani ni full kunyonyana maziwa KE kwa KE...uwiiiiiii.....
Huyu dada D mbona huwa anajiweka kama mtu mmoja mstaarabu, classic na aliyepevuka...mmh kama kweli shughuli.
 
Khaaa! Instagram kuna uchafu jamani ndio maana siipendi sana.
Wasichana wengi wameharibika na wengine wanaelekea hukohuko maana kuna wasagaji wengi sana.

Yaani account za wasagaji insta ni nyingi sana ukilinganisha na za mashoga.
Yaani utakuta iko private..ukimfollow kisha ukajitoa, anakujia chemba kukuomba urudi.

Hayo magroup ya kutombuana na kufiruana ndo yamejaa Mungu hapendi!!!!
Yaani Insta kuna uchafu mwingi sana.
...Umbea, kuna group la wanaojifunza kubeba unga, mie nilishangaa.
warumi unalijua hili au umbea wako unaishia Mataa ya Fire tu?
 
Last edited by a moderator:
Madam b we kiboko yani umenipasua mbavu zangu balaaa kwa kicheko!...huyo mdada enzi hizo bhana mitaa ya feri na ki2 ya arusha a.k.a. Bangi nibangue!

Nashangaa....kaogelea sana ndani ya yale maboti ferry,...afu leo anasema eti hajui uchungu wa labour, labda kama mateja wenzie walikuwa hawadindishi.
 
Huyu dada D mbona huwa anajiweka kama mtu mmoja mstaarabu, classic na aliyepevuka...mmh kama kweli shughuli.

Lazima ajiweke sopu sopu ili hata likibumburuka mkose pa kumkamatia.
Si unajua siku zote U-smart huficha umaskini?
 
Madam huyo bibie D c kaolewa huyo au mshedede haumtoshi

Tena asikudanganye mtu, walioko kwenye ndoa ndio wanaoongoza kwa kufanya ufirauni, ukimuuliza atakanusha kwa kisingizio kuwa ye yuko ndoani hivo hizo ni porojo tu.

Unakumbuka kesi ya Nyota Waziri?
Kanogewana na penzi la mwanamke mwenzie mpaka kavunja ndoa yake na mzee Njenje.
 
Yaani account za wasagaji insta ni nyingi sana ukilinganisha na za mashoga.
Yaani utakuta iko private..ukimfollow kisha ukajitoa, anakujia chemba kukuomba urudi.

Hayo magroup ya kutombuana na kufiruana ndo yamejaa Mungu hapendi!!!!
Yaani Insta kuna uchafu mwingi sana.
...Umbea, kuna group la wanaojifunza kubeba unga, mie nilishangaa.
warumi unalijua hili au umbea wako unaishia Mataa ya Fire tu?

Mhhhh! Hayo magroup ni kwa wenye insta messages naona maana mimi hata silijui hilo.
Labda sababu siko interested sana baada ya kuona uchafu umezidi.
 
Last edited by a moderator:
Tena asikudanganye mtu, walioko kwenye ndoa ndio wanaoongoza kwa kufanya ufirauni, ukimuuliza atakanusha kwa kisingizio kuwa ye yuko ndoani hivo hizo ni porojo tu.

Unakumbuka kesi ya Nyota Waziri?
Kanogewana na penzi la mwanamke mwenzie mpaka kavunja ndoa yake na mzee Njenje.

Duuuh hatari sana mtu unapigwa kibakuli mpka unamkimbia mume kweli joto l ulimi ni zaidi y dushee.....hivi huyu bibie w mtaa wa pili urafiki n machoko kautoa wapi au ndio nae zake
 
Nashangaa....kaogelea sana ndani ya yale maboti ferry,...afu leo anasema eti hajui uchungu wa labour, labda kama mateja wenzie walikuwa hawadindishi.

Kwani bibie feri alikua muuza samaki au alikua pusha mana ckusomi hpo
 
Mhhhh! Hayo magroup ni kwa wenye insta messages naona maana mimi hata silijui hilo.
Labda sababu siko interested sana baada ya kuona uchafu umezidi.

Kuna lile sakata la account ya wasagaji insta watu wakajiingiza mpaka wakafungua na group lao huko Wasap kumbe mmiliki ni dume tena nasikia alikuwa mwanachuo wa UDOM.

Wanawake wakawa wanatuma picha za uchi, jamaa anazichukua halafu anapeleka kwenye group lake la ma-Men.
Yaani uchafu...siku hiyo wakapanga waende kujirekodi wakisagana, wanashangaa mmiliki wa group haji uwanjani...ile wanapiga simu akapokea mdogo wake na mmiliki wakamuuliza, akawaambia mwenye simu hii ni kaka yangu sio dada, walichokaje.
Hahahwh!!!!!.....ila yule kaka alishtakiwa na ilibidi aombe msamaha kwenye media maana ishu ilikuwa pambe kuanzia mjini mpaka UDOM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom