warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,455
- Thread starter
- #21
Lakini binamu mimi simlaumu Jide kwa hayo maana ulitaka amkumbatie Gardner biashara iende vizuri huku moyoni hana amani?
Au aendelee kuwakumbati clouds huku moyoni akijua kwamba ni wanafki na wanachuki nae?
Kwangu AMANI YA MOYO naipa kipaumbele kuliko chochote.Naamini Jide hatoshindwa atasimama tu.
Unajifanya unampenda jide kuliko mm? Aya bwana poa nimekusoma, Amani ndio kila kitu aseh