Salaam.
Usiku kama huu wadau wa MMU tunajaribu kupeana uzoefu katika maisha yetu ya mahusiano.
Watu tumetofautiana nguvu na Afya Pia, hivyo hata uwezo wetu waku perform katika shughuli yetu ya Ngono,.
Haijalishi kwa sasa una umri gani, kinachotakiwa ni kushare idadi kubwa kabisa ya magoli uliyowahi kufunga katika mchezo mmoja. Mfano, enzi hizo nipo Kwenye ubora wangu nimewahi kufunga goli tano per one sex match(Tulikesha).
Hata wanawake mnaweza kutuambia idadi kubwa uliyowahi kukojozwa[emoji6] .
Katika Mada hii Pia tushirikishane sababu zilizofanya tushuke au tupande kutoka katika viwango vyetu vya awali,.
NB. Mshana Jr njoo na suluhisho kupitia tiba mbadala (Asili) kwa tutakaogundua wanamatatizo kiafya[emoji3] .