Bao la Usabuhi ni “Matusi?”

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,979
Reaction score
26,083
BAO LA ASUBUHI , likitamkwa tiu, wanandoa wana reflect "Morning glory" sasa basi Ukiwa mezani kwako na mume na watoto wako, Ukawasha redio TBC, ukasikia “bao la asubuhi leo ni tamu ” leo umelipata tokea wapi?

Watoto na mume watawaza kitu gani ?
Picha gani ya kwanza itakuja kwa mabinti zako na wajukuu waliofunga chuo na shule?

Your browser is not able to display this video.
 
Sexually implicit. Sio utamaduni wetu.
Well and good. TCRA wapo tu, hili neno halina ladhan kwenye sikio wala kutamka. Wajukuu zangu wamefunga shule, mmoja akaniuliza "bibi bao la asubuhi " ni nini, nikampotezea kama sijasikia, nikajuta kufungua hiyo stesheni!
 
Kwamba ikiwa kituo cha Taifa hairuhusiwi kutafuta attention?
Attention ya nini wakati kinaendeshwa kwa ruzuku kutoka kwetu, kinatafuta nini? hebu na wewe mwananzengo elimika basi , toka kwenye kundi dogo la wapumbavu.
 
Radio Ya Wahuni Hiyo Wa Hovyo Hovyo Wanatetea Ujinga Wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…