Bao la mkono Mwanza!

Why this time?
Walikuwa wapi muda wote

Kwani huwa kuna muda maalumu wa kufanya jambo la maendeleo? Negativity tuu katika kila jambo la msingi, acheni kujistukia nyie, hizo namba za vitambulisho huandikwa hata kwenye vitambulisho vya utaifa na mambo yote ya msingi, tambua kitambulisho cha mpiga kura ndio kama utambulisho wetu sasa, na ndicho watz wengi wanacho, au ulitaka waandike namba za nini labda?
 
Msimu wa uchaguzi kila kitu hutiliwa shaka🙄
 

Try not to fool yourself silly boy. Unajua fika there is a motive behind the move. Miaka na miaka tunaambiwa hatukopesheki, leo kwa wema gani vijana wakakopeshwe bila dhamana zinazodaiwa siku zote.

Kwa kifupi wanajaribu kuwafool vijana wa Mwanza, hamna mkopo hapo hiyo ni janja ya nyani and you know that. Baadaye wataambiwa wakalete dhamana, hakuna mkopo hapo.
 
Hata DART imewekwa kiporo ili izinduliwe siku chache kabla ya kupiga kura. DART tutazindua, mabasi tutapanda na kura tutampigia Lowassa. Mradi umejengwa kwa fedha zetu. Uongo wa hivyo pelekeni vijijini.
 

Mkuu nawasihi itafuteni na kuisoma vizuri sheria ya uchaguzi ya TZ na baada ya hapo ndipo mseme haya ya boda boda wa Mwanza na sahihi au la. Tuache mihemuko ya ushabiki usiokuwa na tija kwa taifa.
 
Mkuu nawasihi itafuteni na kuisoma vizuri sheria ya uchaguzi ya TZ na baada ya hapo ndipo mseme haya ya boda boda wa Mwanza na sahihi au la. Tuache mihemuko ya ushabiki usiokuwa na tija kwa taifa.

Mnahaha hadi mnatia huruma, sasa hapo kilichofanyika kibaya ni kipi? Kuwapa mikopo vijana au kuandika namba za kadi zao??
 

Hahahaaaa!! Kwanza am not a boy, pili acha mawazo mgando ndugu, hivi kama kweli mlikuwa "hamkopesheki" na wakagundua njia sahihi ya kuwakopesha ni vibaya? Au kwavile limefanyika wakati huu? Labda mlitaka wakopeshwe lini?
 
kwanini wasiwape mkopo tarehe1 October 2015 ?:A S 41:
 
hivi na ile mwigulu aliyosema vijana waandike majina alishaitoaga??
 
Unataka kutuaminisha kwamba hiyo picha ni Mwanza? 2
 
Kuandikisha mamba za kitambulisho hakuna tatizo lolote labda kama wataenda futa kitambulisho kwenye database vinginevyo watapiga kura tu kwani wataonekana, na NEC walisema kama una kitambulisho utapiga tu hata kama jina limekosewa utapiga maana wanaangalia sura yako
 
Mnahaha hadi mnatia huruma, sasa hapo kilichofanyika kibaya ni kipi? Kuwapa mikopo vijana au kuandika namba za kadi zao??

Atoto, ni wiki sasa imepita tangu tulipokutana humu kwa mara ya mwisho juu ya huu uzi, ni matumaini yangu kuwa sasa umeelewa kile nilicho aminisha awali kwa kuwashauri turejee kwenye sheria ya uchaguzi wa TZ. Kiufupi katika sheria hiyo ni kuwa moja ya makatazo yaliyomo ni mgombea au chama kutoa au kuahaidi kumfanyia au kumpatis mtu mwingine (mpiga kura) kazi, kitu au fedha hususani katika kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi hiyo ni RUSHWA!
 
Ila kwa sasa bodaboda ni waelewa sana MUHIMU watunze kadi zao za kipigia kura
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…