Bao la kisigino

Kwahiyo bado mnaendelea na vitisho? Watu wakiandamana barabarani kwa raha na gharama zao mwingine kwanini impe shida kiasi hiki?
 
Ukawa na wafuasi wao wamezidiwa na Mahaba... Lini JPM aliwai kua na kinyongo na Mtu.. Maalim Seifu aliugua.. JPM alienda kumsalimia Hospital kwa bashasha, Sumaye aliugua JPM alienda kumjulia hali, Tundu Lisu alifiwa JPM alienda kumjulia hali... Mbona mambo ya kawaida kwa JPM.. Nazani watu wa Ukawa mlitamani asienda kumpa mkono ili pia msifie kama mlivyo msifu Maalim Seifu...


Ukiambiwa una akili za Ukawa inabidi ujichunguze.. Tendo lolote linalofanywa na kiongozi wao, kwao ni kitendo cha kishujaa
 
Aisee...halafu credits zikapewa mwingine! Hawa watu wana rohombaya Sana ujue Adharusi
Yani kwingine kooote alikoenda watu hawakuona lakini alipompa tu EL mkono na kusema huu ni muujiza imekuwa ni shida kila mahali
Mimi naona tatizo la huyu mtu liko kila mahali yani mpaka msemaji wa ccm bwana Ole kaongea. .!!!
 
Wapiga makofi na washangiliaji wa EL na Mbowe utawajua tu. Hoja ya Maalim imewekwa kapuni.
Magufuli alikiri kwamba kukutana na Lowasa ulikuwa ni muujiza. Kama unajua maana ya muujiza utakuwa umeelewa.
 
Kwahiyo bado mnaendelea na vitisho? Watu wakiandamana barabarani kwa raha na gharama zao mwingine kwanini impe shida kiasi hiki?
Mkuu muandame barabarani kwa amani nchi nzima halafu sie tunaoitumia hiyo barabara kujipatia riziki tufanyeje???
 
We pekee ndio hujui kuwa lowassa yupo upinzani kw
Kweli usilolijiua ni sawa na usiku giza lowassa amekwwnda upinzani kwa kazi maalum angalia nccr ilivyosambaratika, cuf hao wanaelekea Kaburini kunizika Wenyewe na chadema watafuatia muda si mrefu. Zitto aling'amua hilo akakataa muungano huo wa ukawa ambao ni kifo kwa vyama vya upinzani nchini, lowassa kazi Yake ikishaisha anarudi ccm au atapewa kazi kama mrema.
 
Ndugu zangu watanzania tuachane na siasa za chuki, sikutegemea kuona Mh Rais wetu akipeana mkono na mtu ambaye amehubiriwa na anaendelea kusemwa kuwa ni fisadi ,hadi watoto wanaaminishwa hivyo lakini leo wanakaa pamoja , wanafurahia kukutana kwa, lakini sisi bado tunaitana majina ya ajabu na kutukanana humu kwenye mitandao ya kijamii. Naamini siku moja Mh Rais wetu iwe ni kwa kushauriwa au yeye mwenyewe anayo dhamana ya kuwafanya watanzania kuwa kitu kimoja na wafurahie kuwa watanzania kwa kutoa haki kwa kila mtu, kikundi, bila upendeleo kama alivyoapa
 
Mkuu muandame barabarani kwa amani nchi nzima halafu sie tunaoitumia hiyo barabara kujipatia riziki tufanyeje???
Mmh kwahiyo hayo maandamano yatakuwa kwenye kwenye barabara zote ?pls have better thoughts in this..!
 
lowasa ana ushawishi mkubwa sana ndomana wanamuofia sana siku wakiruhusu mikutano ya athara sjui itakuwaje tatizo ilani hazitekelezeki mipango mingi isiyo na tija yoyote uwakika wakutekeleza ahadi zilizotolewa haupo hichi ndicho kinacho watesa kila kitu kinadalili zake iwe mvua, ugonjwa, n.k dalili ya kushindwa ni kubwa mno kuliko kushinda muda ndio msema ukweli tu subiri siku hazigandi
 
Aisee kama unadhani CHADEMA ni NCCR au TLP basi bado una safari ndefu sana kifikra kwenye nyanja za kisiasa...ila kwakuwa ni mtazamo wako hakuna shida
 
Hongera sana Mshana jr, hongera zake mama yako aliyekuzaa kweli alikulea katika maadili mema, yaani huwa unanifurahisha sana huna hasira wala huna muda wa kujibizana na mtu! I wish ningepewa roho kama yako. Hongera sana once again
Ndosababu mi nampenda brook!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…