Bao la kisigino

dah,mkuu umenena maneno kuntu!
Lowasa the Don!
 
kula gwala,mkuu!
 
mkuu,ni nini tofauti kati ya kipaji na kipawa?
Kipaji kinaweza kuwa jambo zuri au baya na karibia kila mtu ana kipaji chake lakini kipawa kamwe hakiwezi kuwa na upande mbaya na ni wachache wamebarikiwa nacho
 
Sasa tumuige Seif au Lowassa?
 
Magufuli Ni kiboko yenu mkuu Mshana!
Najua hii operation ukuta ilikuwa Na lengo moja kuu nalo Ni kuweka pressure ili Raisi awaite ikulu mkazungumze!
Na Hilo linadhihirishwa Na kauli Za Mbowe Na Lisu kwamba mnahitaji mazungumzo!!
Lakini Raisi amelijua hilo Na yuko kimya, hata kaa Na ninyi Na amri ya kutokuandamana ipo pale pale!!
Sisi tulioambiwa Na Mbowe tuandamane lakini tukachanganya Na akili zetu tutakuwa watazamaji Na kwakweli tutawapa pole kwa yatakayo wakuta
 
JK ALIKUWA ANACHEZA DRAFT MULE NDANI!MARA KAENDA HUKU MARA KARUDI KULE....MWENDO WA KUHAMAHAMA TU!

OVA
ahahaha,mara kwa pengo,mara kwa Magu,mara kwenye meza yake!
Lowasa ni Jemedari wa Siasa za Bongo!
Hekima ni kipawa...! Si kila mmoja wetu anaweza kubarikiwa hicho kipawa
mkuu,ilo tamko la pongezi la c.c.m kwa Lowasa juu Uungwana wake,imo umu jf?
 
ahahaha,mara kwa pengo,mara kwa Magu,mara kwenye meza yake!

Lowasa ni Jemedari wa Siasa za Bongo!

mkuu,ilo tamko la pongezi la c.c.m kwa Lowasa juu Uungwana wake,imo umu jf?
Hapana nimelisikia kwenye magazeti ya leo
 
Lowasa hajawi na hatokuwa mpinzani, amelelewa na ccm, kwa mfumo huohuo,
Alikuja chadema ili apate urais, hakuwa na mapenzi na upinzani, Sasa kilichomleta kime expire, ndo maana anaanza safari ya kurudi kwao ccm, kwa watu walewale ombapo ana maslahi
Uongo hupanda lifti bali ukweli hukwea ngazi...ngoja tuone wakati ni hakimu mzuri
 
Wapiga makofi na washangiliaji wa EL na Mbowe utawajua tu. Hoja ya Maalim imewekwa kapuni.
 
Tena inaripotiwa hivi: "Lowassa uso kwa uso na Magufuli" na wala siyo "Magufuli uso kwa uso na Lowassa"...yaani kifupi Lowassa ndo habari ya mujini...wampe tu chenji yake aisee vinginevyo watatawala kwa mauzauza!
 
Hivi ujinga nao hauwezi kuwa kipawa? Maana kama mtu unaita waandishi wa habari na kumtangaza mtu kuwa ni muungwana halafu hutaki kuiga uungwana wake huo si ni "ujinga"?
Namzungumzia Sendeka, jee sio kuwa atakuwa na hicho kipawa?
mkuu,hiyo press release ya Sendeka imo humu jf?
 
Tena inaripotiwa hivi: "Lowassa uso kwa uso na Magufuli" na wala siyo "Magufuli uso kwa uso na Lowassa"...yaani kifupi Lowassa ndo habari ya mujini...wampe tu chenji yake aisee vinginevyo watatawala kwa mauzauza!
 
UKUTA hatutashikishwa tena, sasa ni zamu ya kumsifu raisi wa mioyo yetu.
 
Wapiga makofi na washangiliaji wa EL na Mbowe utawajua tu. Hoja ya Maalim imewekwa kapuni.
Anzisha uzi tuje tuchangie!ila kumbuka hata tukija uko hoja itakuwa Lowasa atatajwa tu!
Tena inaripotiwa hivi: "Lowassa uso kwa uso na Magufuli" na wala siyo "Magufuli uso kwa uso na Lowassa"...yaani kifupi Lowassa ndo habari ya mujini...wampe tu chenji yake aisee vinginevyo watatawala kwa mauzauza!
No News is Worthwhile Without Mentioning Lowasa in It!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…