Bao la kisigino

Mkuu naomba unifafanulie na hiyo picha uliyo ambatanisha kwenye maelezo yako, nimejaribu kuitafsiri kulingana na maelezo yako nimeshindwa.
 
Mshana hadi leo hajajua kuwa Lowasa siyo mpinzani!
 
Mkuu naomba unifafanulie na hiyo picha uliyo ambatanisha kwenye maelezo yako, nimejaribu kuitafsiri kulingana na maelezo yako nimeshindwa.
Ni ya kifasihi zaidi ! Hicho cha duara ni kito na ukikiweka juani kitakuonyesha maumbo mbalimbali! Hapo kinaonyesha watu wenye nyuso za furaha na kushangilia...nadhani umenisoma
 
Tunzo ya Amani aliyopewa Lowassa siyo Kama zawadi za kuchongwa,Lowassa ni mtu wa amani kwelikweli ni bwana wa amani duniani,pamoja na CCM kuzunguka nchi nzima wakimtukana Lowassa kuwa ni mpumbavu,Lofa,alijinyea stand ya Chato,Lowassa hakuinua hata chembe ya ulimi wake kumtukana mtu,mwisho wameishia kumuita Lowassa ni muungwana.
 
Hekima ni kipawa...! Si kila mmoja wetu anaweza kubarikiwa hicho kipawa
 
Watu wapo kwa ajili ya kushangilia kila linalosemwa au kutendwa na Lowasa au Mbowe. Ndiyo maana watu wanafikia hatua ya kedeki barabara ili bwana wao apite.
 
Asante kwa kuja nadhani hii tune ya ufisadi wake ifanyieni kolabo sasa manake naona mnaishia kuponda huku mitandaoni nyuma ya ID bandia bila ithibati yoyote
Hakuna chochote, Lisu,Mnyika, Lema na Msigwa walimuita hivyo bila ID bandia
 
Hahaaa, angalau umewatoa wasiwasi makamanda wenzio, ambao wanaona Rich monduli amewasaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…