Konnie kipaji kipo aisee. . .
Sasa kama unavyojua mimi na wewe ishu zetu tunazimaliza na kuzifanya kifamilia zaidi, nategemea kuwa partner wako wapekee kwenye kazi na mapato kwa 50%. Ngoja nifanye mpango wa kukutangaza rasmi.
Sasa acha nilog out mida za kwenda kujifanya kuangalia wagonjwa ili upate msosi wa bure anaoletewa mgonjwa hizi.
Mjini apa bana, si kila mwenye kitambi anafanya kazi ofisini.
Mi niliota tumehamia Mabagala pamoja!!Njoo basi tulishane uji wa mlenda walau na mie ninenepe loya!!
Unajua kiswahili yangu sio musuri, hiyo apo red kwa kiingreza wanaitaje?hahahahahah, ila kitambi chako wewe cha minyoo
Yaani amyner ukiona jambo nimeongea mimi basi ujue ni kweli tupu. Kwenye nyumba za ibada wananitumia mimi kama ni ushahidi wa kiapo incase vitabu vitakatifu vikikuwepo mbali.Hahahah tablet ya kweli haya?!
NN, nikijaribu kufikiria nadhani it is normal. The community is growing and the number of infraction committed is growing proportionally. Au unataka kusema hata in proportion kuna ban zaidi siku hizi kuliko zamani (what window frame)?
Hakuna shida NN, tupo chit chat... I just wanted to know. Hata hivo ningeshangaa sana ungekua na data (as it would mean that umekaa na karatasi na penseli kuandika fulani na fulani have been banned on such and such date etc.)Well, my conclusions are not supported by any data; they are based solely on anecdotal observation.
Kusema kweli mi nadhani there could be a decrease. mfano: when there was only 5000 members, there would be an average of ban per day (just an example), sasa tupo 67000, if there is less than 13-14 bans per day it would mean that members are more disciplined or Mods are not moderating as they used to. Hata mimi sina data, nitaongea na admin to find out (and revert, nikipewa evidences)I believe the powers that be would be in a much better position to know for sure whether or not there has been a spike in the issuance of bans.
But now compared to like two, three, or four years ago there has definitely been an increase of people getting banned.
This would be very unprofessional, if confirmed.It is in breach of moderation rules... As a mod I might be biased as sikumbuki kabisa kukutana na kitu kama hiki...Here lately I have noted some instances where the moderator deletes other members' posts just because he/she didn't like it when he/she was being cornered (without profanity being used or any other violation of the forum's rules).
I just don't remember such incidents happening back in the day.
Hakuna shida NN, tupo chit chat... I just wanted to know. Hata hivo ningeshangaa sana ungekua na data (as it would mean that umekaa na karatasi na penseli kuandika fulani na fulani have been banned on such and such date etc.)
Kusema kweli mi nadhani there could be a decrease. mfano: when there was only 5000 members, there would be an average of ban per day (just an example), sasa tupo 67000, if there is less than 13-14 bans per day it would mean that members are more disciplined or Mods are not moderating as they used to. Hata mimi sina data, nitaongea na admin to find out (and revert, nikipewa evidences)
This would be very unprofessional, if confirmed.It is in breach of moderation rules... As a mod I might be biased as sikumbuki kabisa kukutana na kitu kama hichi...
I will bring this post to the attention of all mods ili tujikumbushe majukumu yetu.
Thank you for all your observations, I hope they will help us moderate better.
Mambo mengine ni sawa lakini?
are you allergic?Other than this pollen (the pollen count is really high right about this time) that's kicking my butt, everything else is cool.
Poa kabisa, I am home... hata sijui niongeze nini hapo. I am very happy :wink2:But it's also Sunday night....tomorrow I gotta go back to work again...and that's a bummer! This weekend just flew by so fast. I wish there was one more day to stay at home.
Wewe uko pouwa?
are you allergic?
Pole sana... that must not be easy for you. But it will soon pass. another 2 weeks or so nadhani.Yeah, I'm allergic to it. I hope it rains soon.
Mie naona nina disiplini sana humu sijawahi pata ban wala nn
Duh! kweli hii ni kona ya chit chat!
Sasa umechange language ghafla ili nisichangie sio? Haya bana....Ay yoo Kibs...what's the what ma nigga?