banned nyani ngabu

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
habari ndio hiyo. sasa hivi nimembandika. kumbandua hadi ntakapo jiskia. hivi sasa nina uwezo wa kumbandika member yoyote aliye jf na kumbandua nitakavyo. so usijaribu kuingia anga zangu. wkend njema. ova
 
Who are You????
Masifa tu.
Umeona hapa Vitani?
Jamaa wengine bwana.
Humu ni Great Thinkers,are u the one?
 
Inglish ipi, kama ile nnayoongeaga na Nyani Ngabu ama kama ile ya rais wako ya ku-manufacture teachers?
Hahahaa hiyo ya rais wa wadanganyika hapana....mi nimezoea ile unayoongeaga na NNN
 
Kuna jamaa huwa namsikia kwa jina la ugali sokwe rfa ana uhusiano na nn?
 
Back
Top Bottom