Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,517
Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!

Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...

Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...

Hola wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa.

Hola wa pili mtee wa sita akaniunganisha mahali nikope baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu

Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?

Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...

Nimeweka pozi...

Nasubiria muda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mimi huwaokoa kwenye angle ngumu sana, mmmoja kodi, mmoja central mmoja harusi na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this time wataniona kauzu kama sielewi hivi!

Usimtegemee Mtu Yoyote ukiwa na shida!

UPDATES: Siumizwi sana baadhi ya watu wachache hapa wakisema mm ni tapeli na nimeweka uzi ili nipate hiyo 1m hapana ...sijaomba mtu wala sitaki mtu anipe..nilijaribu tu kuexpress kilichonitokea ...

Nimejiunga JF rasmi may 2009..leo ni zaidi ya miaka 14 sijawahi kuwa na lalamiko wala Ban na nyuzi zangu sio za kuudhi ila naamini..kuna upeo flani wa ufikiri umepungua JF...Baseless Asumptions na nafkiri utoto..unafanya watu wengi wakae kimya..

Nyuzi nyingi za Mapenzi mnazolalamikaga huwa mara nyingi nawashauri humu ila kuna watu wengi wanawakaushia kwasababu ya majibu yenu...jitahidini kuwa waungwana!
 
Pia chukua hii, usipende kutegemea msaada wowote ule kutoka kwa mtu yeyote yule. Pokea msaada unaokuja wenyewe bila wewe kuutafuta. Ukiishi hivyo hakuna kenge itakusumbua hapa mjini.
Ni kweli mkuu nimetafuta alternative na baada ya hapo nataka ifike mahali niwe na asset flani hata chain au bracelet zile ni rahisi kuweka bond fasta...ukajikomboa halafu mkuu kuomba mtu akakunyima unadhalilika flani hv...
 
Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...
Third world dwellers bana yani 2.5m madafu mnaonaa nyingi. Only 900 usd you're complaining like palestinians?

Thanks God am among 1%
 
Third world dwellers bana yani 2.5m madafu mnaonaa nyingi. Only 900 usd you're complaining like palestinians.

Thanks God am among 1%
Hapo Hiyo 900usd niliyokwama kwangu imekua ni nyingi sana...hadi naomba kwa kudhalilika...ni kweli sisi ni 3rd world dwellers ila ww hauishi kwenye uhalisia...wewe haupo kwenye 1% sio tu unapoishi hata hapa Dar hutoboi...

Shida yako ni uongo....mm nimesema kweli!
 
Hapo Hiyo 900usd niliyokwama kwangu imekua ni nyingi sana...hadi naomba kwa kudhalilika...ni kweli sisi ni 3rd world dwellers ila ww hauishi kwenye uhalisia...wewe haupo kwenye 1% sio tu unapoishi hata hapa Dar hutoboi...

Shida yako ni uongo....mm nimesema kweli!
Unataka niweke hadharani nikuoneshe Bank statements na financial status zangu humu za Swiss bank, Swiss Credit, HSBC na Deutsch bank? Ma offshore tax haven huko. Niziweke hadharani?

Nikuwekee humu hadharani mkataba nilioingia wa miaka 10 na price water house coopers na Ernest & young katika maswala ya kunishauri kulipa kodi na auditing? Niweke hapa stocks zangu lukuki za Amazon, Microsoft na Tesla?
 
Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama..
Wakate kwenye circle mzee, be careful with who you put in your inner circle man, ndio mana me saivi nimegundua my inner circle inawazee madingi wenye experience ya maisha kubwa na hawez kukuletea usela mavi kwenye ishue important kama hizi masta….hawa madingi ukiwa mwaminifu ni waelewa sana vinana wenzetu bora aangushe jaga masta 3 wavuvi pale ila sio akuungie laki tano ukamilishe mipango yako….
 
Back
Top Bottom