Wala usipandishe mzuka hapa lazima uelewe wikienda ndo imeanza inawezekana ameshapitia mahali akapata hv huoni hata masaa yenyewe? sasa hivi frequencies za SW zimefungwa na kufungulia FM
sio kila kitu kiwe na masilahi ya moja kwa moja kama unavyofikri-kwenye maisha kuna fursa ya ku-joke na kufurahi na hivyo vina tufanya kuwa pamoja kitaifa na kusahau tofauti zetu-sasa wewe na vi-defination vyako ulivyomeza unajiona una mambo ya maana kwa Taifa hili
Maslahi kwa taifa! ni yepi hayo ukiondoa hili la Asprin anayejipiga BAN ilhali serikali ilishaondoa matumizi ya hiki kidonge, nadhani umechelewa, ngoja niwasiliana na mwalimu wa nidhamu Paw