Karibuni Standard Chartered Bank! It is very reliable!!!
....cheap can be expensive mazee!! Sina nia ya Matangazo hapa lakini karibu: StanChart/KCBMkuu hii ni benki ya wenye nazo maana bank charges zao ziko juu mno. Kwahiyo mwenye kipato kidogo atalia.
mkuu wanajili kweli watu wa IT au ndio wale ma IT Specialist and nini sijui consultant? hiri ri nchi rife tu......mbona vijana wengi wana magamba ya uhakika hawawapi kazi?Naweza sema leo karibia siku 4 au 5 Bank ya NBC katika baadhi ya matawi yake system zimelala jumla kila ukienda unaambiwa system hazijaamka. Sasa sijui watu wa IT wa hii bank ni wachovu au vp mfano tawi la Kichwele jengo jipya system zimelala tokea Jmosi tr.18 July mpaka hivi sasa haziaamka tawi la Samora system zilipata kwikwi toka jana mpaka leo hii huduma hakuna.
NBC jamani vp au ndo kufulia? Watu tunamaliza sole za viatu kuja kupata huduma lakini tunaambulia neno system hazijaamka badilikeni jamani tatizo la kwikwi kwenye system yenu sasa ni sugu wanawashinda hata NMB jamani wkt kwenu mmesheni wataalam kibao.
mkuu wanajili kweli watu wa IT au ndio wale ma IT Specialist and nini sijui consultant? hiri ri nchi rife tu......mbona vijana wengi wana magamba ya uhakika hawawapi kazi?
Nasikia CRDB wana out source mtaalam wa kurekebisha system zao toka India....sijui kweli? kazi ambayo hata IT specialist i'm sure anaweza kuifanya akilipwa vema......
fidel toa pea zako huko bora uzichimbie ndani kwako......
....cheap can be expensive mazee!! Sina nia ya Matangazo hapa lakini karibu: StanChart/KCB
Ohooo, huna habari Kasheshe. Stan Chat (kama tuiitavyo tulio wengi) wanakamua tofauti na matarajio yako. Hasa wale wanaochukua mikopo benki hii wanaweza kukuthibitishia tatizo kubwa la benki hii.Karibuni Standard Chartered Bank! It is very reliable!!!
Je ndo mwanzo wa 'kufulia'???? Karibuni CRDB
mkuu wanajili kweli watu wa IT au ndio wale ma IT Specialist and nini sijui consultant? hiri ri nchi rife tu......mbona vijana wengi wana magamba ya uhakika hawawapi kazi?
Nasikia CRDB wana out source mtaalam wa kurekebisha system zao toka India....sijui kweli? kazi ambayo hata IT specialist i'm sure anaweza kuifanya akilipwa vema......
fidel toa pea zako huko bora uzichimbie ndani kwako......
-bwa ha ha ha ha kazi ipo kama benki kubwa kama NBC bado wanatumia O/S zilizopitwa na wakati sishangai kwanini mitanzania kwanini haina akili.....nyie ma IT gurus wa NBC hilo mna habari hizi from MSHawa wataalam wa IT wa NBC ndio hawa wame-install kwenye Servers zao zote Countrywide Windows Server 2000 kwakuwa kwao hiyo ndiyo latest release. https://www.jamiiforums.com/business-economic-forum/30219-atm-za-nbc-ni-kero-kwa-wateja.html
All Windows 2000 support including new security updates and security-related hotfixes will be terminated on July 13, 2010
Yo Yo, hiyo signature inatudhalilisha watanzania ukiwa mmojawapo. Au ushaukana uraia mkuu? Au huna akili kweli mpwa? Wenye akili wakenya?-bwa ha ha ha ha kazi ipo kama benki kubwa kama NBC bado wanatumia O/S zilizopitwa na wakati sishangai kwanini mitanzania kwanini haina akili.....nyie ma IT gurus wa NBC hilo mna habari hizi from MS
ilishapigwa chini siku nyingi ila imepewa ka muda mpaka july 2010.....nyie ndio mnaona latest.....si ajabu mkawafungia wafanyakazi wenu wasione JF....
Nyie NBC mnatumia system gani kwenye database zenu kama hata server tu bado mko 2000 kweusi.......