Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 485
Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.
Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
inautata hii bank coz they even never advertise their services....na most of the adverts mfano zilizopo barabara ya coco beach it seems wanadeal na watu wenye mapesa makubwa ya kuhamisha nje ya nchi na sehemu kama hizo ..... may be ni benki ya mafisadi tu...
mmoja wa watajwa director aliwahi fanya kazi central bank of tanzania mwisho wa siku aliiba mipesa yote bank kisha akaipiga kiberiti,mzee kifimbo akamtimua bongo na akamwambia asitie mguu mpaka atakapokufa,ndivyo ilivyotokea na jamaa baada ya mzee kifimbo kudondoka akarejea na sasa ni "MP"too.

Mkuu Mtazamo, kwanza ndio leo nimejua kuwa kumbe sisi Wakatoliki haturuhusiwi kujiunga Freemason!.Mkuu ukitaka kujua ukweli tafuta sababu walizotoa Vatican kupiga marufuku Mkatoliki yeyote kujiunga na hawa jamaa! Sura yao kwa nje wanajifanya watu wa upendo lakini ndani ushetani mtupu.usiombe kuingia mkuu!
Nimetuma tuu maombi ya kujiunga, bado sijakubaliwa, ila kwa vile mimi ni mkweli na muwazi, siku nikikubaliwa, nitajitokeza humu kutangaza rasmi Pasco ni Freemason.If you are not one already.
Nimeisha tuma maombi kuomba kujiunga, nasubiri majibu.Unafikiri ni CCM ama CUF. Eti hata mimi najipanga kuijiunga na freemasons !
Wanakujua wewe! Ama ndo unapigia chepuo!
Chimbua zaidi Mayalla hawajakuelewa kuhusu wajenzi huruNimeisha tuma maombi kuomba kujiunga, nasubiri majibu.
Pasco
Sasa ni mbunge wa Bitiama kaburini kwa mchongakama sikosei nimrud mukono alikuwa legal officer wa BoT wakati jengo linaunguzwa moto mara baada ya kukomba hela,jamaa huyu mpenda kuvaa kikofia cha waganga wa kienyeji alikimbilia nje,Mchonga akamwambia asikanyage ardhi ya tz,lakini ajabu ni kwamba alikuwa akikutana nae huko,sijui hapa aliwazuga watz au la,akimtuhumu mwizi
Mzee nitakupigia unielezee hili swalaWanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.
Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
Namna ya Ku join mkuu tumesoma secret nyingi sana Ku wahusu hao mabwana lkn Ku join ndo ishuu papaFreemasons are devil worshpers and nothing else. Kama unataka kumuabudu shetani sisi hatuwezi kukuzuia. Nakushauri ufahamu kwanza, usije ukapima kina cha maji kwamiguu miwili.
Kuna msaafu wao unaitwa Morals and Dogma utakueleza who are Freemasons. Ni msaafu ambao upo online.
Pia kabla ya kujiunga google the secret behind secret societies itakusaidia kuelewa
Mkuu ulishajiunga?Wanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.
Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.
Bado niko kwenye processMkuu ulishajiunga?
Tupeana utaratibu tafadhali!
Mwalimu wetu aliwahi kutuambia a semi-cooked lawyer is as dangerous as a semi-cooked medical practitioner maana anaweza kuua clients wake kwa kushindwa kutoa huduma ya kisheria sawa sawa. SASA na hapa kuhusu swala la freemasonry ni hivyo hivyo. Watu wamelishwa taarifa za hovyo kutoka kwa watu wasiokuwa na uelewa wowote kuhusu hiyo society matokeo yake ndiyo haya ya kusema wanataka damu za watu. Mawazo ya ajabu na kijinga kabisa hayaWanabodi, mbona humu jamvini kuna topic ya Freemasons inside out, hayo mambo ya kutaka damu yanatoka wapi?.
Freemasons ni society tuu kama zilivyo Lions na Rotary, hata mimi binafsi najipanga kujiunga na freemasons.