Bank M: Connecting the dots

Bank M: Connecting the dots

Lakini nasikia huyu Jeethu is still at large, hivi imeshindikana kweli kumnasa ama wanasaji nao wameshanaswa kwenye huo mtego wa mafisadi, so hawawezi tena kuwanasa mafisadi?
 
Jamani hapa kuna mambo mazito, hebu tuyaangalie kwa makini. Nchi ilikuwa inaliwa na wachache kwa miaka mingi. Tanzania si masikini lakini tatizo ni mgawanyo wa keki ya taifa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
EPA, ukweli unajulikana lakini inaonekana ni swala la "Nani amfunge paka kengele?"

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake....
 
Font mzee, zinatutesa sisi wenye macho mazee
MN,

Nakuwekeeni doc nzima (hizo ni hints tu) ili uweze ku-download na ku-print.

See my 1st post on this topic for updates (when I finish attaching).
 
  • Thanks
Reactions: SDG
cant soma the post, font size ni too small invisible
 
Mh! Mkumbuke hotuba ya kikwete, alisema kuwa pesa za epa hazikuwa na wenyewe bali kuna mtu alichoma utambi tu
 
Hahaha, maybe!

Lakini ukiangalia hiyo DebtGate aloonekana kutoijua vema tumeambatanisha hapa ili aijue vema na kumrahisishia kazi yeye na wadau husika!

Kazi kwao
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mimi huwa sikuzote swali langu ni moja tu!! baada ya kujua haya yote wadau tunafnya nini? maana kina slaa kila siku wanatuambia na sisi tunaendela kulalama hapa JF. What actions can we take?

hivi hatuwezi hata kutega ka bomu kwenye hiyo Bank M? ili kuwashtua watu kuwa tunachuki na mafisadi. at least hata ka bomu ka mafuta ya petroli!!!!
 
Hapo mkuu tutaitwa magaidi na si vinginevyo, labda tuanze na viongozi wetu wale wanaotusaliti.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mimi huwa sikuzote swali langu ni moja tu!! baada ya kujua haya yote wadau tunafnya nini? maana kina slaa kila siku wanatuambia na sisi tunaendela kulalama hapa JF. What actions can we take?

hivi hatuwezi hata kutega ka bomu kwenye hiyo Bank M? ili kuwashtua watu kuwa tunachuki na mafisadi. at least hata ka bomu ka mafuta ya petroli!!!!
Am told that 'something' is being done by our Govt. They need more info, we offer them.

That's it!
 
Hebu hili liinchi letu linafanana na nchi gani hapa Africa? tuna kila kitu ila sisi ni maskini, tazama Mr preside kila kukicha anachukua kapu kulizungusha huko ughaibuni, hebu nini hatima ya Tanzania?

Hata hicho kidogo tunachokitunza hapo BOT wajanja wanapita nacho, da.... sijui wajukuu wetu itakuwaje
 
d2942a36d8.gif

JK is doing his best! No worries buddy. 🙂
 
Hebu hili liinchi letu linafanana na nchi gani hapa Africa? tuna kila kitu ila sisi ni maskini, tazama Mr preside kila kukicha anachukua kapu kulizungusha huko ughaibuni, hebu nini hatima ya Tanzania?

Hata hicho kidogo tunachokitunza hapo BOT wajanja wanapita nacho, da.... sijui wajukuu wetu itakuwaje

Lakini wajue iko siku. Haiwezekani kwamba mara tu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu J.K. Nyerere, watu walianza kui_EPA Benki Kuu yetu.... kwa kweli hatuwezi kuwa na nchi ya watu wanaozugwa siku zote.
 
.... kwa kweli hatuwezi kuwa na nchi ya watu wanaozugwa siku zote.
Enhee, there you are! Wanaosahau hili litawagharimu mbele ya safari. We can't be fooled anymore!
 
Za mwizi ni arobaini, japo sasa zimeshafikia mia moja na ishirini, kwa hiyo hata adhabu yake huyo mwizi itakuwa ya kuchomwa na tairi la moto na kuhukumiwa kifo cha kutisha na si kifungo cha miezi sita jela tena
 
Back
Top Bottom