Bank M-Connecting the dots...

Hilo swali hata mimi huwa najiuliza sana pale ninapoitafakari legacy ya yule mzee wetu!
 
Dah! Mkuu hadi hasira inanipanda! Ngoja nikapate kikombe cha chai kwanza nitulize mawazo.
 
kwamba hata thread za hapa JF wamefuta???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna file ambazo links zimegeuka pdf, Sasa si nikaiobenyeza ili nipakuwe? Lakini kila ni nikibonyeza najikuta badala ya kufungua hilo faini la pdf, najikuta nimetokea kwenye nani Page ya JF. Ntakuwekea link uone mwenyewe! Sijajaribu kufungua kwenye computer natumia simu.
 
Perfect.

Kwa hiyo Chavda wetu alinunua deni kwa 2.5 millioni, jamaa akaenda kuvuna mabilioni toka kwa mdaiwa ambaye ni serikali yetu!

Nimekupata barabara na kila kitu sasa kimefunguka vyema.
Haya tuendelee!
Lakini asingeweza kufanya hivyo bila ya vigogo ambao ni watanzania wenzetu walikuwa mastermind waku injinia mchezo mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very well said. Let’s wait and see!

Unajuwa kuna watu wanadhani hii tamthiliya! This is some real and serious issues!
 
Vijana wengi sana ambao naskia wanajiita “wazalendo wa ccm”, wameshtushwa na kupigwa na butwaa! Pengine wakijiuliza msaliti haswa wa Taifa hili ni nani?
 
UPO ila hawawezi kufanya lolote mpaka wampe taarifa SPONSOR (Rais) ndiye aamue nini kifanyike. Katiba ndivyo inavyoelekeza hata ile sheria iliyounda TISS ya mwaka 1996 kipindi cha Mkapa. Marais wenyewe sasa!!!
just eliminate him.........


sidhan kama tiss wanashindwa kum-eliminate mtu msumbufu sumbufu.......


sioni kama kuna willing upande wao, ila wakiamua wanamtoa kimya kimya akakutane na ndugu zake huko ahera!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
just eliminate him.........


sidhan kama tiss wanashindwa kum-eliminate mtu msumbufu sumbufu.......


sioni kama kuna willing upande wao, ila wakiamua wanamtoa kimya kimya akakutane na ndugu zake huko ahera!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi kama unavyoandika hapo kuna kiapo kinachowaongoza na hata Sponsor mwenyewe anachagua DG anayemuamini. Agencies zetu sio sawa na za nchi zingine mfano za dunia ya kwanza. Tuongelee uhalisia.
 
Sio rahisi kama unavyoandika hapo kuna kiapo kinachowaongoza na hata Sponsor mwenyewe anachagua DG anayemuamini. Agencies zetu sio sawa na za nchi zingine mfano za dunia ya kwanza. Tuongelee uhalisia.
naelewa sana, ndio maana hupenda DG wa tiss anayemwamini na kule CDF anaemwamini pia........


hapo niliongea kwa ku-generalize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini asingeweza kufanya hivyo bila ya vigogo ambao ni watanzania wenzetu walikuwa mastermind waku injinia mchezo mzima.
Fikiria Mwanasheria Mkuu wa Serikali anafunguliwa akaunti huko nje na kuwekewa dola za Marekani 1,000,000 (Tsh. 2,400,000,000/=!) na mwingine Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UMMA naye kawekewa USD 500,000 (Tsh. 1,200,000,000/=!) Nchi ya vijisenti na hela ya mboga! Halafu tunajiita nchi masikini!
 
Dah!! Kwa wakati huo pesa ilikuwa nyingi sana na hilo dili moja tu,unafikiri wamepiga mangapi?

Kwa mfano AG ame tenure muda gani kweny ofisi ya AG?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

From my archive...... Nataka ku-upload a pdf file lakini sioni hio option. Any help?

Update: Nimeweza
 

Attachments

There are several things which have changed between 1990s and now.
The world is looking at all the details about the way we do our undertakings.
Sir Chande and some few smart friends, who were calm, but obsevants of the first phase, have also gone. The influence of Sir is not to be underestimated.
The leaders who were also busy grabbing all possible opportunities are old and some are out of favour.
JPM is working hard....in order to change the system, he needs longer time and loyal and supportive aides. Is that the status quo? It is a topic of its own to debate.
And as Tanzanians, we should also hate the easy ways of making money. We have promoted the culture of living by making illegal deals. We take those who live in that way as the role model of our society. At the end, we are responsible for our own destination.
And last, how do we use the changes that have happened to make tomorrow look better? Have we given up our future to these forces of destruction? Watanzania wenzetu ndio wanafanya haya. Mtu anatoka India, anakuja kuiba na bado tunampa status ya kuwa mtanzania? Hatuna aibu?
Tunahangaika na wale waliokimbia vita huko maskini, ambao hawana lolote la kuchangia, tunawaacha hawa wanaotoka India for a special mission...kuhujumu watanzania. Lets change and become accountable. Imetosha. Tunajiaibisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…