Kazi ipo.Mkono ndiye alikuwa mwenyekiti wa wa Bank M wakati inaanzishwa, nadhani body of directors! Kuna mwana mama ambaye anaitwa Jacquelin Owise, yeye ndo alikuwa CEO!
Kuna namna wamejaribu kufuta alama zao lakini kumbukumbu bado ziko.
Who knows?
To you what is the most ancient chronology event between the ancient Egypt (Egyptology) and Jesus's stuff?Prove it by any first century writer/historian
That was my question before? Anyway let me wait for the truthWho knows?
Mods please musiiunge hii for now kwasababu msingi wa threads nyingine ni maswali kuhusu chanzo cha Bank M. Na nyingine kuhusu kukamatwa kwa mkuu wake kwa kosa la utakatishaji! Ripoti hii hapo chini, inaonyesha chanzo cha benki hiyo ambayo kama wengi mtakumbuka, ilitumika kuzituliza zile pesa za EPA! Na ilikuwa ya vigogo! Je kukamatwa kwa mkuu wake Sanjeev Kumar, ni kufukua makaburi? Nini maoni yako? Maana ukweli ni kwamba pesa ya EPA ilikuwa ya uchaguzi kuisaidia ccm. Na Sasa hivi ni wazi Maghufuli ana hali mbaya ndani ya chama haswa kuhusiana na pamoja na mengine, pesa za kampeni!
Wanajamvi, Let’s connect the dots...
...kuna gazeti liliandika ripoti enzi hizo...
Enzi za uhuru kwa kiasi fulani wa vyombo vya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Quid quo pro, that’s it!👍🏽Wahindi wa Tanzania wametuangusha. Katika kashfa karibu zote kubwa wanahusika.
Ndio mambo ya kukutana kwa vikao vyao vya siri na kugawana hizo fursa? Maana walatini wanasema Quid Pro Quo....
Hii historia ibadilike sasa. Enough. Criminals wawajibishwe
Hahaha! Dah! Mbona umechaguwa jibu jepesi hivyo kwenye swali gumu?Bwana Sanjeev Kumar mwezi January 2019 alihamisha mali kiasi cha dola milioni 500 ambazo tangu August mwaka jana zilikuwapo ndani ya benki ya M.
Alihamishia kwenye benki ya Azania jambo ambalo lilionekana wazi kwamba alikuwa akijaribu kukwepa kitu fulani na ndipo BOT walipoamua kufuatilia.
Benki ya M ilikuwa na tatizo la liquidity ambapo unakuwa unataka kubadilisha kwa haraka amana au mali bila kuathiri thamani ya mali au amana hizo.
Ukiwa unafanya hivyo huku taa zote za ishara ya hatari zipo standby kutoka BOT, basi unakamatwa kwa kutaka kutorosha fedha au kutakatisha.
Pia tukumbuke kwamba siku chache zilizopita BOT wamezifungia benki 5 (ikiwemo Azania) kwa kukiuka masharti ya kubadilisha fedha ambapo benki hizo zimeshindwa kutoa taarifa ya kubadilisha au kuhamisha kwenye mfumo wa interbank foreign exchange market.
Hivyo hapo sioni sababu ya kuihusidha hii na raisi Magufuli na CCM kukosa fedha za kampeni badala ya kuona kwamba hizi ni jitihada za BOT kudhibiti soko la ubadilishaji fedha za kigeni baina ya vyombo vya fedha kwenye mfumo wa fedha wa nchi.
Uliza swali kama una shida. This is JF.Hii mada imekuwa ngumu sana kwangu sijui kwa sababu ni Weekend na akili inalala au uelewa finyu wa eneo mada ilipojikita
Anyway nitarudi wakati mwingine panapo majaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu jamaa anaitwa Richard yeye anasema ni jambo dogo tu linahusiana na “kushuka na kupanda” kwa dola!😀Hayo makampuni hewa yalikuwa yanafanya kazi ya utapeli at the next level.
Kina Msofe wanadhulumu wajane viwanja, wengine wanapiga kimya kimya bado wanavaa suti na tai, na kusifiwa ni wawekezaji
Waache sasa utapeli maana nao wanatapeliwa
Meridian Biao Bank ilianzishwa kifisadi vile vile?Mimi nmetaja tu eneo moja la kuhamisha fedha kijanja.
Ila Benki M ni sawa tu na Meridian Biao Bank ilivyokuwaja kwa kasi miaka ya 90.
Mkuu Kalamu1 , utaratibu wa kununuwa madeni upo. Ebu kwa kuanzia, tizama hii tafsiri rahisi kutoka Investopedia...
DEFINITION of Debt Buyer. A debt buyer is a company that purchases debt from creditors at a discount. Debt buyers, such as a collection agencies or a private debt collection law firm, buys delinquent or charged-off debt at a fraction of the debt's face value.Jan 23, 2018
Debt buyers make money by acquiring debts cheaply, and then trying to collect from the debtors. Even if the debt buyercollects only a fraction of the amount owed on a debt it buys—say, two or three times what it paid for the debt—it still makes a significant profit.
kuna kitu nakuomba usikisahau, brains behind all this plunder ni Watanzania wenzetu. Majina ya Watanzania hao huwezi kuyakuta katika orodha ama ya wamiliki au ya wenye hisa lakini ni wanufaika wakubwa katika biashara hizi kupitia kivuli cha CCM.
Mimi nmetaja tu eneo moja la kuhamisha fedha kijanja.
Ila Benki M ni sawa tu na Meridian Biao Bank ilivyokuwaja kwa kasi miaka ya 90.
Ndiyo mkuu. Walikuwa wamejipanga kama mafisi waliokamata mzoga.Perfect.
Kwa hiyo Chavda wetu alinunua deni kwa 2.5 millioni, jamaa akaenda kuvuna mabilioni toka kwa mdaiwa ambaye ni serikali yetu!
Nimekupata barabara na kila kitu sasa kimefunguka vyema.
Haya tuendelee!
Soma hayo makampuni niliyoweka pamoja na wamiliki wake. Kama sikosei Iddi Simba nilimsikia in one way or another.Wapi Idd Simba mzee wa UDA? Umenikumbusha Meridian Biao. I hope it was not a scheme to fund top position aspirant/s. Mambo ya Club Saigon