Bank M-Connecting the dots...

Mr Patel has extensive commercial interests in Tanzania and is a senior director of Export Holdings (Pty) Ltd and Managing Director of the Sea Cliff and White Sands Hotel in Dar es Salaam.

Eeenh, hawa watu ndio watakaoimarisha uchumi wa Tanzania, na kumwondoa Mmatumbi wetu kwenye rindi la ufukara!
Ukiuliza, unaambiwa 'Uchumi Huria'; si wanalipa kodi bhwanah! Wewe unataka nini?

Sisi wengine, ukijikunja kwelikweli na kuvuja jasho, na kwenda kujiliwaza kidogo hapo Sea Cliff, au White Sands Hotel na Mpango wa Kando, siku hiyo moja unajisikia uko mbinguni na kujisifu kwa washikaji: Tanzania tumeendelea bhwanah. Tuna mahoteli kedekede. Tupo kama Ulaya Bhwanah!

Siku inapita na kesho yake unarudi kwenye maumivu yako ya kila siku; huku akina Junior, hata shule ni matatizo tupu!
 
Siyo siri, kuna watu wanajichotea mahela kama maji kisimani, tena kisima chenyewe cha wote, ila wanajiona wao ndiyo wenye haki, kwa hila na ghuluba, mitandaoni, mitaani na maofisini wanaonekana wachapa kazi kumbe ni wezi wakubwa...
Inasikitisha sana kwa kweli...
 
Ngoja tutaona. Soma vyema lakini, unamfahamu RA?
 
Hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv kumbe serikali " kupigwa " pesa ndefu haikuanza leo,duh ngachoka kabisaa!!
Talking abt 50 billions in 1990 is alot of money.
Mipango hii (kama mleta thread uko sahihi) kama ilikua inapangwa miaka ya 70 na Mwalim Nyerere akiwepo (mfano hiyo program ya DCP) ilikuaje ikawa inapita kirahis namna hii wakat wenyewe tunaaminishwa kuwa vijana wa zamani ( wazee wetu) eti ndio walikua wazalendo na uadilifu na walikua wasomi na wana akil kuliko sisi vijana wa sasa a.k.a .com ??

Yaan na elimu ya mkoloni kwel walikua wanapotisha mipango ya kipumbavu namna hii?? Sasa sisi tuliosoma elimu iliyochakachuliwa wana tarajia tufanye nin??

Halafu umuhimu wa taasisi za kiusalama kama tiss basi zilikua zina kazi gan na umuhimu wake uko wap? Maana tunaambiwa Tiss ya enzi hizo ilikuwa imejaa wazalendo kwel kwel wenye weledi wa hali ya juu wasiotanguliza maslah kama hawa vijana wa tiss-ccm wa leo!! Maana kama tunaaminishwa tiss ilikua na uwezo wa kupambana na vyombo vya kiintelijensia vya mataifa ya nje (enzi za ukombozi wa nchi za kusin mwa afrika) na wakawa na uwezo wa ku contain na kupata taarifa nyeti za nje Walishindwa vp kupata taarida hiz za ndani kuhusu ubadhirifu huu uliokuwa unafanywa dhidi ya serikal?
Oky tuseme walishindwa kuzuia basi hata kushauri baadhi ya maamuzi?

Kwel we have a long way to go.
 
aheri ya haya kuliko hayo!
Wewe unaningoja na Mimi ninakudibiri!
 
Huyo mhindi alikua akinunuaje madeni then analipwa na serikali.Ufafanuzi tafadhari.
Teh teh teh!! Mzee hapo mwenyewe pamenichanganya kwel na nimejitahid kuelewa ila wap.Nadhan ndio elim za kayumba hizi tofauti na zile elim pure za mkoloni walizopata viijana wa zamani a.k.a wazee wetu mpaka wakawa na akil za kuuza madeni. 😛😛
Ila kwa nilichoambulia ni vile chukulia mfano Local tu wa jinsi benk siku zinavyo nunua madeni ya wateja wao wanaodaiwa na taasiai zingine.

Mfano bodi ya mikopo heslb wanakudai ml 13 halaf kule ambako mshahara wako unapitaga na unapokopaga pesa mfano nmb wakaja na proporsal ya kulibeba deni lako ( yaan badala ya wwe kudaiwa na heslb,nmb wanachukua nafasi yako kama ndio wanaiwa hizo m13).
Baada hapo ww unakuwa hudaiwi na heslb bali unadaiwa na watu wako wanaokutunziaga pesa na hata ukitaka wanakukopesha (yaan hapa nmb anajifanya kama mweeeema sana) kumbe katika hiyo m13 anakupiga na Interest ya % kadhaa kwahiyo hutalipa tu m13 bali zaidi ya hiyo.

Kumbuka hapa kuwa mdeni wako wa kwanza (heslb) alikuwa ameshaku chaji interest yake ya % kadhaa kwahiyo nmba akinunua deni lako anakuchaji tena interest nyingine.Kwahiyo unajikuta unapoigwa ma interest juu ya interest!

Halaf kitakacho kuuma zaid hapa ni kwamba hujui nmb na heslb wameingia agreements gan kwenyw kununua hilo deni lako.Unaweza kuta wao wanapewa mashart nafuu kuliko ww kwe ye ulipaji na pia kama healb wataamua kusamehe deni lao basi ujue nmb ndio watakaosamehewa lakin ww utaendelea kuilipa ile m13 ya nmb na interset juu.

Samahn kama nimejieleza badala ya kujibu swal lako maana mm sio mtaalamu wa haya mambo.
Ila mwisho wa siki looser ni wewe a.k.a mnunuliwaji a.k.a serikali iliyouza deni kwa mhindi (nmb)
 
Siku zote naamini namna hii CCM ni adui namba moja wa Tanzania wajinga hawataki kuamini hili ila huo ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe unaamini hiki ulichoandika! wanaowaita wadanganyika hawakosei
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ununuzi wa madeni ilikuwa kama ifuatavyo:
Kampuni A ya Uingereza inaidai Tanzania Pound 1 million kwa muda mrefu sana. Tanzania haina pound za kulipa. Kagoda wanaingia mkataba feki na Kampuni A kuwa deni la kampuni A alipwe Kagoda kwa fedha za Tanzania kwa condition kuwa Kagoda ataendeleza mashamba ya mkonge. Kagoda akilipwa anatumia kwa shughuli zingine. Uwezekano mkubwa kampuni A ilishasamehe deni ila halikufutwa BOT. Kulikuwa na documents nyingi kipindi cha Jamboforums zilizokuwa uploaded kuhusu saga hii ikiwa pamoja na hiyo mikataba feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…