Bank M-Connecting the dots...

Lakini asingeweza kufanya hivyo bila ya vigogo ambao ni watanzania wenzetu walikuwa mastermind waku injinia mchezo mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Misasa, kidogo nikuchanganye na mwanaJF "MISULI", nikastuka sana kwa jamaa huyo kuandika kama ulivyoandika hapo, na kunipa mimi 'like'!

Kwa bahati mbaya, hao "vigogo, ambao ni waTanzania wenzetu" hata kama walishastaafu, wamejizalisha kama virusi ndani ya CCM ya sasa.

Watu wanasubiri tu zamu zao zifike ili na wao wapige! Ndio maana ndani ya CCM humsikii kiongozi yeyote akihoji mambo kama haya.
 
Kwa bahati mbaya, hao "vigogo, ambao ni waTanzania wenzetu" hata kama walishastaafu, wamejizalisha kama virusi ndani ya CCM ya sasa.
Fikiria anaingia kiongozi na ingawa tunajua fika kuwa alikuwa sehemu ya uongozi uliopita, yeye kwa makusudi anajitambulisha kama mkombozi. Cha ajabu na kwa kutambua unafiki na ujinga wetu haombi radhi kwa ushiriki wake na badala yake kwa ujasiri anaapa kuwalinda hao hao viongozi waliotufikisha hapo na sisi kama mazuzu tunapiga vigelegele.
Watu wanasubiri tu zamu zao zifike ili na wao wapige!
Ni kama vile watu wale ndani ya chama kilie kile katika mfumo ule ule wanapeana zamu...wewe sasa pumzika na ulale usingizi mwororo bila wasi wasi kwani ninaapa kukulinda dhidi ya kelele kutoka upinzani.
Ndio maana ndani ya CCM humsikii kiongozi yeyote akihoji mambo kama haya.
Badala yake wanawageuzia kibao wazalendo wa kweli ambao hawakunyamaza taifa lilipokuwa linatafunwa bila huruma na kuwaita wasaliti. Mioyoni wanafoka "hawa wanathubutuje kutunyooshea vidole wakati sisi ndio wenye nchi na hata tukila kama nzige bila kunawa si tunakula vyetu? Kwa kweli inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.
 
The leaders who were also busy grabbing all possible opportunities are old and some are out of favour.

You must be kidding!

Show me five of the new generation, ney, show me two, in that moribund party who you think when time allows, will not be grabbing like the old generation if not worse!

JPM is working hard....in order to change the system, he needs longer time and loyal and supportive aides. Is that the status quo? It is a topic of its own to debate.

If he is working hard to change the system as you state, he must be doing it the wrong way in many aspects.

For starters, those few billions in the Bush International Airport would have been of better use developing agriculture in that area.

And, if he is indeed 'changing the system' as you suggest, if I were you I would have suggested to him stay away from the well known culprits of the game; the likes of RA, and now the re-invented new kid on the block Mr Richmond

All that, and not beginning to touch on his revulsive style of governance; much can be debated about your optimism.
 
Eenh, wewe fikiria Mag3. Mtu ananogewa sana mpaka anatamba kwamba "CCM itatawala milele", kana kwamba chama hicho kimewafanyia waTanzania mema mengi, kiasi kwamba waTanzania hao hawawezi kuachana nacho wakitaka kufanya hivyo!

Maana yake ni kuwa hawawezi kuwa na 'utashi' wa kuachana na CCM. Anaona polisi wapo kuhakikisha CCM iendelee.

Kiongozi wa nchi, unakuwa na mawazo ya aina hii?
 
Hilo swali hata mimi huwa najiuliza sana pale ninapoitafakari legacy ya yule mzee wetu!

Tujikumbushe ni nini maana ya kuwa na vyama vingi vya siasa nchini. CCM hawakutaka, lakini ikawalazimu wakubali kwa shurti. Tendo hili lilikuwa na maana gani kama halikulenga hayo tunayodai angetufanyia?

Ni miaka mingapi tokea wakati huo hadi sasa, bado tunadai tu tungefanyiwa? Huku sio kulemaa kwa ajabu sana jameni!

Sasa tutaweza nini kama uwezo wetu ni wa kutegemea kufanyiwa? Vyama vyote hivi vya siasa vilivyokwisha anzishwa tokea wakati huo, na viongozi wote hawa ndani ya vyama hivyo, na wengine waTanzania wote waliopo nje ya vyama vya siasa, tumeshindwa kabisa kurekebisha mambo yawe kama tunavyotaka, na badala yake tunabaki kumlalamikia kiongozi mmoja tu ambaye sasa hatunaye tena. Je, angekuwa bado yupo, si pengine hata angewekwa ndani kama anakiherehere?

Yeye alionya, kwa yale aliyoyaona yakitokea wakati huo. Kwa nini tusingemsikiliza na kuanza kudai mabadiliko sisi wenyewe!

Na kwa kuwa sasa hayupo, tukae tu tukiendelea kulialia na kulaumu?
 
Wahindi sijui huwa wana nn!! Kila nchi wakiwepo lazima wajihusishe na hizi dili za upigaji serikalini same to familia ya gupta south africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief....hyu mhindi bila shaka alikuja kusikilizia mgao wake na hao kina patel, it seems hao wahindi wenzake walimdhulum baada ya kuwa deported ..hizo vurugu zote za kuomba mahakamani aendelee kuwepo tanzania bila shaka kuna kitu muhimu alikuwa anafuatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna somo kubwa sana hapa boss. Sidhani kama nitaweza kuiamini tena serikai ya ccm. RA huyu huyu?
 
Umeshasikia ule usemi wa "muwamba Ngoma huvutia kwake" ? Ulitaka aseme CCM itatawala milele ikishirikiana na wapinzani?

Wapinzani ni wepesi sana.. untrustworthy pricks, watu wasiokua na mwelekeo wala mipango and very easy to infiltrate. Since 2015 I was just waiting to see that perplexed look you had on your face pale mlipohisi mmesalitiwa Kwa Lowasa kurudi kwao. Keep on Hallucinating my beloved brethren
 
I know all about the dead sea scrolls,in fact they are against everything in the bible,..by the way the truth is never determined by vote..the whole religion thang is a fabricated story..jesus never walked on water,mohamed never splitted the moon..and don't forget,snakes do not talk,your adam and eve little childish bedtime story is laughable
 
At least now you argue like an adult.
Good for you.
 
Hivi yule Mashauri ni wa kutoka kabila gani na CV yake ikoje haswa? maana wengine tumemjua baada ya kuji konk konk master
Msukuma kama sikosei. CV sina haja ya kuiona, matendo yake ni tosha kumfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…