Bank ipi ni afadhali kati ya NMB na CRDB katika makato

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Habari wanajf sorry naomba kuuliza kati ya NMB na CRDB upande upi una afadhali kwenye makato ya mwezi na makato wakati wa kufanya transactions?

Bora NMB au bora CRDB?
 
Inategemea na account.
Kama ni mwanafunzi wa chuo Unahitaj account kwa Ajili ya kupokelea boom, nenda CRDB.
Utapokea mapema zaidi.
 
Banks Siyo Rafiki Wa Masikini!!!
Ushauri Mzuri Pesa Tunza Ndani
Japo Tunalazimishwa Kupitishia Pesa Banks
Umeona Wahindi Wakipanga Foleni ATM
Huwezi Kuwaona Wao Wanaweka Pesa Ndani
Hii ndio akili.
Kama sio muajiriwa, chimba shimo ndani weka Sefu, kisha tunza pesa zako.

Bank za zamani kulikuwa na interest zinalipwa, siku hizi ni makato tu.

Ujinga kabisa.
 
Hii ndio akili.
Kama sio muajiriwa, chimba shimo ndani weka Sefu, kisha tunza pesa zako.

Bank za zamani kulikuwa na interest zinalipwa, siku hizi ni makato tu.

Ujinga kabisa.
Nmb Nakumbuka 2007 Nakumbuka Walikuwa Wanatoa Interest
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom