Hakuna asiejua wakenya ni wezi. Tuwe nao makini,hata wkt east Africa community inakufa walijimegea rasilimali nyingi ikiwemo Mali za east Africa airways,hapo hapo walifungua kiwanda cha matairi huku wakijua general tire kipo, maua yetu chai yetu wanauza ulaya huku wakiweka lebo zao made in Kenya Huo sio wizi? Acheni mwizi aitwe mwizi,sio hapo wanaongoza kwa kuuza Tanzanite yetu?,sio wizi? Hushangai JPM hayupo close na Kenyatta? Sio nao nao wametuibia mlima WETU Kilimanjaro na kuiaminisha dunia ni wao??pasco sion haja kuwaendekeza hawa watu wa nyayo