Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.

Tena huyo dada ana bahati sana!
Ningekuwa mimi ndiyo nimemkamata ana kwiba, ni kibano cha nguvu kisha namwagia petroli na kumpiga neli kwisha habari yake, siangalii huyu mkenya sijui mtanzania, sijui mkaka, sijui mdada, mwizi ni mwizi tuuu adhabu yake moto tuuu! hakuna cha haki za binadam wala nini!!
 
Wakenya wabaguzi kuliko mnavyofikiri waliwahi kunizuia nisiingie kenya kufanya kaz na vibali vilikamilika kwa kuwa nilikuwa na mzungu mzungu akaruhusiwa mm nikabaki
 
Mi sijaona ajabu wala sishangai kwa hilo, ila nitawashangaaa wakenya eti wakidai wamedhalilishwa, maan nitawauliza suali moja tu, jee walimtuma
Lakini mtoa thread mi nakushangaa kweli, mana wabongo kila uchao hukamtwa na kushikishwa mabango na wengine kuvuliwa mpaka nguo bila kujali jinsia zao, ila ukuwahi kuandikia hili, iweje ikuume sana kwa kushikishwa bango mkenya.... Au na wew ndo kwenu uko??
Jengine ki nakupa ushauri wa bure kamtafte uyo binti umsaidie kufungua kesi ya madai ikiwa anaona kadhalilishwa, pia umsaidie kwenda kujibu hoja za wizi wake mahakani ili tuone uzalendo wako ikiwa upo kwa aliyeiba au waliyoibiwa
Mwisho naomba umfunze kuwa kwa mschana kama yeye mdogo vile kama hana ishu ya kufanya apa tz, bora tu arud kwao akalime kuliko kuishi hapa tz kwa kutegemea wizi maana ipo siku watu watammaliza...
 
Hakuna asiejua wakenya ni wezi. Tuwe nao makini,hata wkt east Africa community inakufa walijimegea rasilimali nyingi ikiwemo Mali za east Africa airways,hapo hapo walifungua kiwanda cha matairi huku wakijua general tire kipo, maua yetu chai yetu wanauza ulaya huku wakiweka lebo zao made in Kenya Huo sio wizi? Acheni mwizi aitwe mwizi,sio hapo wanaongoza kwa kuuza Tanzanite yetu?,sio wizi? Hushangai JPM hayupo close na Kenyatta? Sio nao nao wametuibia mlima WETU Kilimanjaro na kuiaminisha dunia ni wao??pasco sion haja kuwaendekeza hawa watu wa nyayo
 
Hivyo vyote ulivotaja hapo sio wizi bali ujanja. Watanzania tukubali tu wakenya wametuzidi akili
 
Kinachofanya watu watoe hukumu wenyewe ni mpangilio wa sheria unavyowapa nafasi watuhumiwa na waizi walivyo wajuzi wa kukwepa adhabu za mahakama. Mtu anakamatwa titi 4 tati na kizibiti anacho lakini akienda mahakamani sheria inamuona hana hatia, siku 2 yupo mtaani, ukimuona mwingine utampeleka mahakamni au unamaliza mwenyewe hukumu!!?
 
Kwani hii mambo ya Ufisadi ilianzia wapi kama sio Kenya,hawa majizi wadogowadogo kesho ndio wakipewa nafasi wanakuwa Mafisadi,mi naona sawa tu huyo Mwizi kuwekewa bango la wizi ingekuwa Iran au Saudia angekatwa Mikono ,mwizi ni mwizi tu haijalishi katoka Kenya au mahali pengine Duniani.
 
Kijobisimba this is your platform Please come out and save us. Jiulize swali, hata kama vitu alivyokamatwa akiiba vingekutwa nyumbani kwake, je angelipelekwa jela bila kufikishwa mahakamani??
Hakika nasema, nipo tiyari kuisimamia hiyo kesi. Huyu dada hatakaa aibe tena kwa hiyo pesa atakayoipata hapa kwenye kesi hii.
Nipeni namba zake. Udhalilishaji huu ni wa kupindukia. Hastahili
 
mwizi.png

Msichana mmoja kutoka nchini Kenya aliyefahamika kwa jina moja la Atwara, amezua gumzo baada ya kukamatwa alipokuwa akitaka kuiba begi la mkononi eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Msichana huyo alisimamishwa hadharani akiwa na bango lenye ujumbe uliosomeka “Mimi ni Mwizi kutoka Kenya” na akatakiwa kutembea akiwa amebeba bango hilo.

Taarifa zilieleza kuwa msichana huyo alikuwa amejijengea mazoea ya kuiba mali za watu na alituhumiwa kuiba begi jingine juma moja lililopita na ndipo walipomuwekea mtego na kumnasa.

Chanzo: Swahilitimes
 
47 Reactions
Reply
Back
Top Bottom