Bango Hili La Mchina Hatare!!

Bango Hili La Mchina Hatare!!

Mi sioni tatizo kama kingereza lugha ya 3 kwake is not a big deal sema huyu mchizi asitumie lugha ambayo haijui,wabongo tuache kushabikia lugha za watu
 
kazi tunayo!bora kiswahili tukikazanie zaidi huku kwa watu tunatia aibu jombaa
 
haya ni matatizo ya tanroad mkuu!

Wakuu mnanishangaza! Eti tunawashutumu wachina? Tatizo ni sisi wa-TZ na maafisa wetu. Kwani hawalioni hilo tangazo? Ila sishangai sana kama meneja wa uwanja wa ndege Kigoma aliweza kukaa na lile tangazo, itakuwa hawa? Twendeni tu, tutafika tu! Wilayani kwetu nako tulikuwa tumeandika "ACCOUNTANT OFFICER" nikawa nimelewa kabisa, sijui ni mimi tu?
 
Kama waliokosea ni Wachina wala sishangai...
 
Hiii hatari zaidi.. hv ni was0mi kweli walioandika hiii?:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
wakuu mnanishangaza! Eti tunawashutumu wachina? Tatizo ni sisi wa-tz na maafisa wetu. Kwani hawalioni hilo tangazo? Ila sishangai sana kama meneja wa uwanja wa ndege kigoma aliweza kukaa na lile tangazo, itakuwa hawa? Twendeni tu, tutafika tu! Wilayani kwetu nako tulikuwa tumeandika "accountant officer" nikawa nimelewa kabisa, sijui ni mimi tu?

haaa accountant officer??
Kweli huu ugojwa mkubwa sana.
 
haaa accountant officer??
Kweli huu ugojwa mkubwa sana.

Yaani mkuu we acha tu! Tena hiyo ni ofisi ya TASAF (W), DED anapita hapohapo wala hasemi kitu, nikajaribu kuwaelesha kwani walinisikia? Mpaka leo lipo!
 
Kingereza majanga na makelele, mradi wajenge kwa kiwangi stahiki. Wasije kufanya kama ile ya Kilwa.
Nadhani kilichobaki kweli kabisa ni kuangalia kiwango cha barabara tu, tuachane kbsa na lugha.
 
Hiki KIZUNGU ni mgogoro kwa wengi kumbe!! Nilidhani ni kwetu tuu akina Kayumba....🙂
Nadhani baada ya Mathematics kinachofuata kuwa HOMA YA DUNIA ni Kiingereza.

BIG RESULTS NOW ina kibarua kikubwa.
 
Na wewe Mkuu, usiwe na KI-FRONT FRONT sana. Unaji-Brother-Sugercane ku ru-Public lwa watu kuwa una SAY English?

Hahahaaa, naleta Bill ya mbavu zangu kutibiwa. Balozi kweli AMEPAKATWA na Kinana Kisiasa.
Angeendelea kidogo angesema THE BACK IS NOT WORKING!
 
Jamaa huwa wanalaniwa sana kwa ku-save pesa. Badala ya kuweka Mkalimani, wanatumia GOOGLE TRANSLATOR, haki ya nani tena. Hebu wanaojua Kichina waandike hiyo sentesi na waweke kwenye Google Translator na utaona kila kitu kinakubaliana kabisa kama Space Ship ina Dock kwenye Space Centre.
Nadhani kilichobaki kweli kabisa ni kuangalia kiwango cha barabara tu, tuachane kbsa na lugha.
 
Back
Top Bottom