Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,711
kazi tunayo!bora kiswahili tukikazanie zaidi huku kwa watu tunatia aibu jombaa
Its too late
kazi tunayo!bora kiswahili tukikazanie zaidi huku kwa watu tunatia aibu jombaa
Its too late
Nilikuwa naenda Bar Mpya Sakina.Wewe Majengo umeenda kufanya nini.......si upite zako uachane na bango la watu........
Baba yangu mdogo yupo kwenye hii kampuni. Sijui ndiye kaandika? Hahaha......