bangi sio mchicha aisee,,,

Jamaaa yangu alichoma nyumba yake hivi alivuta akiwa ndani akawa anaona siafu wamejaa nyumba nzima hadi nje akakurupuka kutafuta kiberiti akawatia moto siafu kila pahali nyumba kwisha habar yake ilikua pemba
 
Yaani vituko vya hajabu ndo raha? Haya basi tupe mikasa yako iliyokusibu.
licha ya vituko..inakupa ujasiri wakufanya mambo yani unajikuta umefanya jambo kwa ufasaha zaidi alafu ina-steam yake flaniivi amaizing haelezeki...ntakuja kufungua uzi kabisa nielezee mkasa mzima
 
Gomba oyeee! Hii kitu ukiwa addicted bao linatoka bila breki.

Sasa si ndiyo mwanzo wa uhanithi huo? jamani hivi vilevi vingine ni vya kijinga sana serikali izidi kuvikomalia vitokomee.
 
licha ya vituko..inakupa ujasiri wakufanya mambo yani unajikuta umefanya jambo kwa ufasaha zaidi alafu ina-steam yake flaniivi amaizing haelezeki...ntakuja kufungua uzi kabisa nielezee mkasa mzima

Sawa, nasubiri.
 
Reactions: ywf

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…