Bangi, pombe na viagra kwa pamoja: Hivi ni kweli mwanaume anakuwa rijali zaidi?

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Hii maneno nilikutana nayo wakati naishi Sinza. Jamaa alikuwa kijiweni wakati anajiandaa kwenda kufanya mapenzi na msichana wa mtaani kwetu. Wakati anajiandaa na hiyo shughuli, alikuwa na bia nne mkononi akizinywa, msokoto mmoja akiuvuta na vidonge vya viagra. Alituambia kuwa kwa kufanya hivyo huwa anaweza kukaa kifuani kwa muda mrefu bila kuchoka-kati ya dakika 20 hadi 30, ndo anapata mshindo wa kwanza.

Madai yake ni kwamba uwezo huo ameupata baada ya kuwa anatumia huo mchanyato wa kemikali za bangi, viagra na pombe kwani kabla ya hapo alikuwa hachui hata dakika mbili, tayari wazungu wametoka tofauti na sasa baada ya kuanza kutumia huo mchanganyiko wa kilevi.

Wenye uelewa wa mambo, hivi kuna ukweli hapo au ndo pengine jamaa anajimaliza kabisa kizazi kwa mtindo huu wa kuchanganya hayo madawa?
 
Inawezekana bado anatumia dakika mbili ila huo mchanyato wa Mi Bhange, Mi pombe na Mi Viagra ndiyo unamfanya ahisi kuwa ametumia dakika 20,,
 
Huyu ana matatizo,uwezo wa yoyote hauletwi na kitu chochote tofauti na WEWE mwenyewe,jiamini na utaona matokeo chanya!
 
mi kinachonitatiza kwa huyu jamaa ukimuangalia tu hata afya yake ni mgogoro..........ni wale ambao wakitembea ni kama wale wanaotembea na kupepesuka!
 
Kwa hesabu rahisi, Bangi huharibi ofisi, hivyo

Bangi + viagra=0
Bangi + viagra + pombe + mapenzi = (Bangi + viagra) + pombe + mapenzi = 0 + pombe + mapenzi = pombe + mapenzi
pombe + mapenzi = HIV/AIDS and other associated STDs

Conclusion, hakuna ukweli!!!
 
ni kitu kisichowezekana maana ukichanganya kilevi utazima na hutamgusa mhusika
 
Sio mwanamume huyo, atakuwa ndani ni CHAKULA, ila kwa nje anataka aonekane Mwanaume.

With time, ataukubali ukweli na ile sheria ikipitishwa, basi atakuwa anapiga vimini na skin jeans.
 
Viagra + Pombe..? Siyo kifo jaman' au viagra ni vidonge tofauti.?
 
Inaelekea hana kazi ya kufanya , angekuwa na majukumu asingepata muda wa kufikiria ***** kama huo . Akikua ataacha.
 
Back
Top Bottom