Bangi noma!!

Bangi noma!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,354
Kuna jamaa walikua wamekaa jumba bovu wanapuliza bangi, mara wakaishiwa kiberiti wakamtuma mwenzao akaombe popote, jamaa akazunguka akatokea palepale akawaambia masela naombeni kiberiti na kwa sababu jamaa nao walikua wamekolea kwa bangi, wakajibu tumemtuma mshikaji akaombe kama vipi kaa tumsubiri.
 
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
 
te he te he tette te kwi kwi kwi ha ha ha ha mmmhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom