IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 361
Masela walikuwa wanavuta bangi Sehemu,kibiriti kikawaishia, wakamtuma msela akaombe Sehemu, msela akatembea mpaka anarudi tena kwenye chumba kilekile, na akasahau kama ndo alipo toka, akawaomba kibiriti,
washikaji wakamwambia,"mwana we njoo ukae kuna msela tumemtuma ametoka sasa hivi atarudi"
bila kujua ndo msela wao,
Bangi Noma....
washikaji wakamwambia,"mwana we njoo ukae kuna msela tumemtuma ametoka sasa hivi atarudi"
bila kujua ndo msela wao,
Bangi Noma....