and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Bangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi