Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,904
- 5,760
DawaGanja
Bangi
Ndumu
Marijuana
Msuba
Kijiti
Dope
Mpepe
Jani
...Malizia
Kaya
Kitu
Mmea
Mjani
Wida
DawaGanja
Bangi
Ndumu
Marijuana
Msuba
Kijiti
Dope
Mpepe
Jani
...Malizia
Hapo tatizo sio bangi, tatizo ni mtu binafsi ila Bangi inatumika kama kielelezo cha kufeli kwa huyo ndugu yakoBangi inaharibu vijana na watu wenye familia. Kuna ndugu yangu mmoja kamuacha mke wake na yeye katelekeza familia. Bangi sio nzuri hata kidogo
Watu kibao wanatumia Dawa, hata mtoa mada sio ajabu Baba anakula dawa vizuri tu, dawa ni mmea uzao msimu wote wa mwaka, ni kama nyanya vile kama kichwa chako hakiwezi kumudu na unahitaji piga puff 2 tatu endelea na kazi zako..Hiyo bangi ya dar
heee kumbe nimevuta.Wanataka nasi tuuze pwenza 🤣🤣🤣Acha umbanga wee chali, achana na life eti areef, amna chali oote apa chuga anakula mpepe alafu apige mbishe za Kifala. Acha usnichi wee chali ..tutakugeuza mboga ohoo
Mapolisi na bange Ni kama mtu na mkeweBangi inasingiziwa sana na watu wasioijua Kama mtoa mada, pole sana kwa kuwatunuku hao mateja bila kinga




we utakuwa Ni polisi 










Hauna unachokijua,endelea kupiga puchu tu
Nakuona Cha arusha unavo kichomaHauna unachokijua,endelea kupiga puchu tu



Mary JaneGanja
Bangi
Ndumu
Marijuana
Msuba
Kijiti
Dope
Mpepe
Jani
...Malizia
Genesis 9:3Watu kibao wanatumia Dawa, hata mtoa mada sio ajabu Baba anakula dawa vizuri tu, dawa ni mmea uzao msimu wote wa mwaka, ni kama nyanya vile kama kichwa chako hakiwezi kumudu na unahitaji piga puff 2 tatu endelea na kazi zako..
Philosophers mashuhuri kwenye hii Dunia wametumia Mmea kutuliza fikra chonganishi za hii Dunia..Brother Bob Marley, Peter Tosh, Einsten & ...&...&...
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kasikitie ndugu zako,acha umbeaInasikitisha sana...
treesGanja
Bangi
Ndumu
Marijuana
Msuba
Kijiti
Dope
Mpepe
Jani
...Malizia
Bangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi
Bangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kiza
Chugga vijana wengi wamedata kisa bangi yaani kuna vichaa kibao hadi wengine wanapewa airtime kwenye media😀😀hapo kaloleni ndo center ya uharifu wanauza biskuti za bangi, kuna hadi cake za bangi chugga ila nashangaa this year ndo wanajifanya kukamata biscuit za bangi😀😀wakati party kibao watu wanaletewa cannabis cakesBangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi