Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,903
- 5,758
Utakua unapenda sana Ndumu..Kwanza bangi ya arusha huwezi kuifananisha na bangi yeyote inayotoka tanzania,mimi nanunua bangi kwa marasta og wanaolima kwenye mashamba yao ya nyumbani,huwa nanunua ndoo ndogo ikiwa imetoka kukaushwa,ambayo ni pure haijawekwa kwenye kaki,hiyo bangi nawauziaga wazungu wanaipenda sana,naisokota bangi kwa mikono yangu,huwezi ona weusi kwenye mikono yangu wala midomo yangu,navuta bangi kila baada ya masaa 3 tena bangi kubwa sio hizo bangi kama kijiti,nachukua rizila 4 naunganisha pamoja
Tupo pamoja.
