Unasema Morogoro KM 200 kutoka Makao Makuu ya Polisi? hebu nenda mwembe yanga uone hadhara ya wavuta bange kila siku jioni, tena wanaangaliana na kituo cha polisi
Wewe umejuaje kuwa hiyo ni harufu ya Bangi??????/Siamini pua zangu nimewasogelea jamaa hapa club ya wazi njia ya kilakala wanavuta na kulipuliza hadharani dahhh polisi mje Muwakamate
Siamini pua zangu nimewasogelea jamaa hapa club ya wazi njia ya kilakala wanavuta na kulipuliza hadharani dahhh polisi mje Muwakamate
Wewe umejuaje kuwa hiyo ni harufu ya Bangi??????/
SIGARA ZENU ZIMEPANDA BEI..OYI MKUNJO MMOJA UNAENDAJE HAPO CHAMWINO?kwa raha zetu,,njoo chamwino uone kaz
Bangi ni nzuri kulinganisha na pombeSiamini pua zangu nimewasogelea jamaa hapa club ya wazi njia ya kilakala wanavuta na kulipuliza hadharani dahhh polisi mje Muwakamate
Vitabu vya Mungu vimekataza pombe lakini si bangeSiamini pua zangu nimewasogelea jamaa hapa club ya wazi njia ya kilakala wanavuta na kulipuliza hadharani dahhh polisi mje Muwakamate
Kawashtaki TRA walipe kodi, police wamewashindwa hao kabla na baada ya uhuru hadi leo wameshindwa kukomesha hilo tatizo, sa hivi nikimkuta mtu anavuta bangi au kunywa gongo nampeleka TRA wachukue kodi yao.Siamini pua zangu nimewasogelea jamaa hapa club ya wazi njia ya kilakala wanavuta na kulipuliza hadharani dahhh polisi mje Muwakamate
Mbona sehemu nyingi tu?? acha bangi vituo vya kuuzia unga mbona vipo wazi na watu wanaingia na kutoka lakini kimyaa ndiyo waje kwa mvuta bangi?Siamini pua zangu nimewasogelea jamaa hapa club ya wazi njia ya kilakala wanavuta na kulipuliza hadharani dahhh polisi mje Muwakamate