Bangi ihalalishwe

Bangi ihalalishwe

mim naona wengi wana crash hii mada na hii ni kwasababu ya ukoloni mambo leo, kama bangi inge halalishwa sidhani kama soko la sigara linge kua sasa ili wa linde maslahi yao binafsi wameona ni heri walete propaganda juu ya bangi ili wasizidiwe soko. kama ni kuchizika nahisi jamii ya WAHADZABE wangekua taabani sasa na uhalifu pia wange kuwa wanaongoza kwakua wao hutumia bangi saana....
"emancipate your self from mental slavery coz non but your self can free your mind"...
naiunga mkono hoja 100%
 
Kuna watu wengi sana wenye heshima zao wanakula jani, na wakivuta wanakuwa watulivu na very concentrated tofauti na mnywaji pombe, akinywa anakuwa na maneno mengi pointless na mapepo ya uzinzi ndiyo yanawakamata!

ushawahi kujiuliza kwanini wavuta bangi wanapenda kuchora picha ya meli kubwa ukutani,kwenye madaraja,mifereji n.k???
Je,umepata jibu gani?

Pia kwanini wanasema bange inanoga kuvuta sehemu za wazi kama vile viwanja vya mpira,vijiweni na sio ghetto?au ukiwa peke yako?
Ukijibu hayo kwa ufasaha utaelewa athari na madhara ya bange
 
mim naona wengi wana crash hii mada na hii ni kwasababu ya ukoloni mambo leo, kama bangi inge halalishwa sidhani kama soko la sigara linge kua sasa ili wa linde maslahi yao binafsi wameona ni heri walete propaganda juu ya bangi ili wasizidiwe soko. kama ni kuchizika nahisi jamii ya WAHADZABE wangekua taabani sasa na uhalifu pia wange kuwa wanaongoza kwakua wao hutumia bangi saana....
"emancipate your self from mental slavery coz non but your self can free your mind"...
naiunga mkono hoja 100%
Wahadzabe umewaona wana akili timamu? Hata nguo hawajui kuvaa sababu ya bange
 
ushawahi kujiuliza kwanini wavuta bangi wanapenda kuchora picha ya meli kubwa ukutani,kwenye madaraja,mifereji n.k???
Je,umepata jibu gani?
Pia kwanini wanasema bange inanoga kuvuta sehemu za wazi kama vile viwanja vya mpira,vijiweni na sio ghetto?au ukiwa peke yako?
Ukijibu hayo kwa ufasaha utaelewa athari na madhara ya bange

Ganja Jerk Chicken.jpg

Hebu onja kwanza kipande kimoja cha Ganja Jerk Chicken ndiyo tuanze kuongea vizuri.
Hao wanaofanya hivyo ni wala unga wanachanganya na mjani, mbona hata bia watu wanakunywa na kulala mitaroni, kutelekeza familia zao, kuwa malaya n.k
 
io tunaita pre jurice isiyo kua na maana... kwaio unamaanisha hao sio binaadamu au.. kuto kuvaanguo ni hali halisi ya maisha yao kama mwa-africa halisi... usijiisi uko vizuri pia kwakua wewe pia unaweza jifunza kutoka kwao..

"nipe tafsiri halisi ya akili timamu"
 
io tunaita pre jurice isiyo kua na maana... kwaio unamaanisha hao sio binaadamu? wewe ndio umekamilika ama.. kuto kuvaa nguo ni hali halisi ya maisha yao kama wa-africa halisi... na kuvuta bangi kwao ni kama ni kwa ajili ya kukusanyika pamoja kama wanafamilia na kupeana taarifa na hata kwa ajili ya kufurahi kwa pamoja. familia ngapi zimetengana pasipo na kua na vitu vya kuwaleta pamoja. tuwaangalia ma Rasta wanavyo ishi kwa umoja na amani angali wanavuta? wanao haribu hadhi ya KAYA ni wale waitumiayo kwa maslahi yao ya uharibifu wa vitu.
kwanza.
"
icon3.png
nipe tafsiri halisi ya akili timamu"
 
View attachment 109261

Hebu onja kwanza kipande kimoja cha Ganja Jerk Chicken ndiyo tuanze kuongea vizuri.
Hao wanaofanya hivyo ni wala unga wanachanganya na mjani, mbona hata bia watu wanakunywa na kulala mitaroni, kutelekeza familia zao, kuwa malaya n.k

hili sio jibu la swali!

Mimi nina uhakika wa hayo ninayozungumza kwani mateja na wavuta bange wote naishi nao huku street kinondoni hivyo tabia zao nazielewa!

Kuna mmoja nusu auliwe maeneo ya Msisiri B baada ya kuvuta bange zikamshawishi ajiibie mwenyewe,
akachukua mti mrefu akazunguka nyuma ya geto lake akawa ananyata kuingiza fimbo ili kuchomoa nguo zilizotundikwa ndani ktk msumari, bahati mbaya raia wapita njia wakamwona wakamwitia mwizi,watu wametoka na mawe,mapanga n.k wanakuta ni raia wa mtaani na alikuwa anafanya mazoezi ya kuiba!

Jamaa aliapa kuacha bange
 
io tunaita pre jurice isiyo kua na maana... kwaio unamaanisha hao sio binaadamu? wewe ndio umekamilika ama.. kuto kuvaa nguo ni hali halisi ya maisha yao kama wa-africa halisi... na kuvuta bangi kwao ni kama ni kwa ajili ya kukusanyika pamoja kama wanafamilia na kupeana taarifa na hata kwa ajili ya kufurahi kwa pamoja. familia ngapi zimetengana pasipo na kua na vitu vya kuwaleta pamoja. tuwaangalia ma Rasta wanavyo ishi kwa umoja na amani angali wanavuta? wanao haribu hadhi ya KAYA ni wale waitumiayo kwa maslahi yao ya uharibifu wa vitu.
kwanza.
"
icon3.png
nipe tafsiri halisi ya akili timamu"
Wewe si mwafrika mkuu?
Tembea na boxer hapo street kwenu, kama hujaambiwa umedata na mibange!
Acha kabisa hiyo kitu kama unatumia ndugu
 
Kuna kitu inaitwa space cake mkuu inakupa high ya muda mrefu ukilinganisha na ku-inhale smoke, jaribu kutafuta recipy mtandaoni
 
hili sio jibu la swali!
Mimi nina uhakika wa hayo ninayozungumza kwani mateja na wavuta bange wote naishi nao huku street kinondoni hivyo tabia zao nazielewa!
Kuna mmoja nusu auliwe maeneo ya Msisiri B baada ya kuvuta bange zikamshawishi ajiibie mwenyewe,
akachukua mti mrefu akazunguka nyuma ya geto lake akawa ananyata kuingiza fimbo ili kuchomoa nguo zilizotundikwa ndani ktk msumari,bahati mbaya raia wapita njia wakamwona wakamwitia mwizi,watu wametoka na mawe,mapanga n.k wanakuta ni raia wa mtaani na alikuwa anafanya mazoezi ya kuiba!
Jamaa aliapa kuacha bange

Sikatai kwamba kuna wavuta bange vichaa, lakini lazima ukubali kuwa kuna wala bangi walio na akili timamu za kuzidi, au mifano ya ndani hauielewi mpaka tukupe mifano ya akina Haile Selasie? Hata bia ambazo nyie mnaziona ni halali zaidi kuna watu wakinywa wanawehuka na kuwa wa ajabu sana, lakini kiafya bangi ina madhara machache sana kuliko hata dawa ya meno unayotumia!!
 
Kwasababu ya ukoloni mamboleo utaniona nimechizi. ila jua watembeao na nguo pia wanakuona wewe umechizi kwakuto upa mwili nafasi ya kupumua..

Jaribu kujitetea kwa mwonekano wa kihalisia bila kutumia propaganda za waliokuvika nguo...
 
wewe si mwafrika mkuu?
Tembea na boxer hapo street kwenu,kama hujaambiwa umedata na mibange!
Acha kabisa hiyo kitu kama unatumia ndugu

Huenda haujamwelewa xplis mfano uliotoa ni irrelevant, hao bushmen unaowasema ni culture yao na jinsi ya maisha wanayoishi, wala si kwamba bangi ndiyo zinawafanya wakae uchi, its their nature, nadhani ukisoma kidogo historia utaelewa. Wahadzabe vipi, na wale jamaa kutoka amazonia? kuna vikundi vya watu ambao kwa sababu moja au nyingine wamechelewa kufikiwa na ustaarabu.
 
Last edited by a moderator:
Bangi inasemwa tu vibaya lakini is very good kwa kweli, mi mwenyewe kabla sijaingia kuwapiga lecture vijana huwa lazima nipulize japo twenty minutes earlier...

Mhh! JF kuna wavuta bange aisee LOL!

Ha ha ha Arushaone.. Umemuona mwenyekiti wa kamati hapo.. Ina maana kuna maamuzi wakati mwingine anatoa ambayo yanakuwa influenced na ganja lol..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba uwe muwazi nani ambaye ametoa irrelevant example.?
 
Bangi inasemwa tu vibaya lakini is very good kwa kweli, mi mwenyewe kabla sijaingia kuwapiga lecture vijana huwa lazima nipulize japo twenty minutes earlier...

haha hawa ndiyo walimu wetu! aaah! tunaenda wapi?
 
hili sio jibu la swali!
Mimi nina uhakika wa hayo ninayozungumza kwani mateja na wavuta bange wote naishi nao huku street kinondoni hivyo tabia zao nazielewa!
Kuna mmoja nusu auliwe maeneo ya Msisiri B baada ya kuvuta bange zikamshawishi ajiibie mwenyewe,
akachukua mti mrefu akazunguka nyuma ya geto lake akawa ananyata kuingiza fimbo ili kuchomoa nguo zilizotundikwa ndani ktk msumari,bahati mbaya raia wapita njia wakamwona wakamwitia mwizi,watu wametoka na mawe,mapanga n.k wanakuta ni raia wa mtaani na alikuwa anafanya mazoezi ya kuiba!
Jamaa aliapa kuacha bange

Hiyo tena kali ya mwaka, jamaa anafanya mazoezi ya kujiibia!
 
Sikatai kwamba kuna wavuta bange vichaa, lakini lazima ukubali kuwa kuna wala bangi walio na akili timamu za kuzidi, au mifano ya ndani hauielewi mpaka tukupe mifano ya akina Haile Selasie? Hata bia ambazo nyie mnaziona ni halali zaidi kuna watu wakinywa wanawehuka na kuwa wa ajabu sana, lakini kiafya bangi ina madhara machache sana kuliko hata dawa ya meno unayotumia!!

Faida na hasara zake zinalingana?
Kama faida ni ndogo kuliko hasara sishauri uvute!
 
faida na hasara zake zinalingana?
Kama faida ni ndogo kuliko hasara sishauri uvute!

Faida ni nyingi kuliko hasara, mimi naona hizo nguvu ungekuwa unazitumia kuhimiza watu wasinywe pombe na kubwia sembe.
 
Back
Top Bottom