mkuu hukukimbia ulivyomwona huyo mamba?
Vipi kijiko si uliona jembe!
Watu ulikuwa unawaonaje?
Duh!bange mbaya
naona wavuta bangi wengi kweli JF
I du nat suggest a thing on wid... i dd t somtymz b4 bck in th dyz n until nw i stil cherish t coz i find t 2 b jus cul tho thr som ppo huwa wana go kinda crayz bt 2 me tc ol bse thy ddnt nho hw 2 use t n kip up wit it.
Bang inazeesha tho tc cul.. n kwa ambao bado mpo kwenye dope shit, jus maintain th lawz coz bang z nat for som1 2 break lawz.
kazi kwelikweli! tunahitaji wataalamu-wa-ukweli waweke wazi (scientifically) athari za bangi, ili watu waelewe, maanayake wengine wametumia mpaka wamefika uzeeni (at advanced age) bila kuprove madhara yake!
hivi yakitokea mashindano ya mbio kati ya mlevi na mvuta bangi nani atawahi kufika . ni mtazamo tu
wataalam wa nini kitu kipo clear hakuna madhara
ni mtazamo
uvutaji wa bangi si jambo geni
vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta
ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli)
kma ulishawah kuvuta utakubaliana na mimi
bangi haina addiction wala haijengi dependency
ukiikosa hupati alosto
bangi ina leta mood au inaongeza mood
huku kijijini kwetu wakulima wanapuliza bangi then wanaingia mzigoni
same way tulivokuwa tunatumia high school tunapata mood ya kupiga misuli
haya madhara kma kupoteza kumbukumbu ni uongo mtupu na sijui hizo research walimfanyia nani?
Kwanza bangi inaongeza appetite mim ningekuwa docta watu wanaosuffer na anorexia ninge kuwa na prescribe bangi
afu bangi navoelewa risk ya kupata sijui cancer yakoo au mapafu ni ndogo kuliko hizo tumbaku ambazo ni legal kabisa
bangi ina fanya muscles zina relax
hakuna sijui ku athiri nguvu za kiume kama tumbaku
kwahyo basi sioni sabab ya bangi kuwa illegal cha msingi serikali izuie madawa ya kulevya na bangi watu wavute hadharani kma sigara ili kutoweza kuwapa mwanya wale wanao changanya na heroin huko vichochoroni
Upuuzi mtupu. Ushawahi kuona mvuta bangi ana akili timamu? Kila mvuta bangi anajifanya ni peace maker kwa kuwa mellow all the times mpaka wanasahau kuoga huku wakinuka harufu ya mavi na ukurutu mwilini. Mkuu usiombe tuwe na hii sheria kwani watu watakuwa wanalala barabarani na tutashindwa kuendesha magari yetu, si unaona kuna wengine wanalala juu ya makaburi? Ile ni laana na ni bangi ndizo zinazowafanya kuwa vile.
Jifunze kuandika mkuu hapa sio Facebook
ikisha halalalishwa musikatae ndoa za jinsia moja,wala msiogope kuzaa na mama, dada,mabinti zenu , maana Vuta bangi hana mipaka!