Bange...

Bange...

Kibunango

Platinum Member
Joined
Aug 29, 2006
Posts
8,556
Reaction score
2,530
Mvuta bangi karejea kwake usiku, kamkuta mkewe kalala na chupi yenye kimkanda tu kwa nyuma(g string). Jamaa kaanza kucheka mpaka mke wake akaamka, akamuuliza unacheka nini? Kamjibu, ni mara yangu ya kwanza kuona ****** yamevaa kandambili...
 
lazma hayo makalio ya mkewe yana ulakini,au yako kama ngumi?:car::car::car:
 
ha haah basi lakini shukran kwa kunijibu... usihisi nafanya mzaha ila malapa pia sjui... but its ok shukran..
Hah Hah, waniacha hoi mie,
Sema bibie kama unataka maelezo zaidi niko tayari ili upate elewa!
 
huyo demu nae g ya nini wakati amelala
 
huyo demu nae g ya nini wakati amelala

wewe nawe si alikuwa anamsubiri huyo nyamibange,kwa wazoefu unaivaa halafu inamilalo yake hiyo,wamsubiri mzee aje aivue kiaina sasa nyamibange kaharibu sijui mpendweje nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom