Bandwidth Ni Nini Hasa?

Bandwidth Ni Nini Hasa?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
9,120
Reaction score
9,732
Habari wana JF, Mara nyingi nimesikia watu wa TCRA wakizungumza umuhimu wa kudhibiti matumizi ya Bandwidth, je kwa kiswahili rahisi tunaweza kusema bandwidth ni kitu gani hasa na kinaweza kufananishwa na nini!?
 
A- : Kaka unataka nini maana ya Bandwidth?
.
B- : Unataka kujua Bandwidth kwa kiswahili!
.
Kama jibu ni (A) GOOGLE will help you!
.
Kama jibu ni (B) GOOGLE TRANSLATOR will help you!
 
Habari wana JF, Mara nyingi nimesikia watu wa TCRA wakizungumza umuhimu wa kudhibiti matumizi ya Bandwidth, je kwa kiswahili rahisi tunaweza kusema bandwidth ni kitu gani hasa na kinaweza kufananishwa na nini!?
ni mwendo kasi wa data kwa sekunde. yaani kiasi cha data katika kipimo cha byte kinacho safiri kitoka point A to B.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom