Bandugu, Hivi TZ ni Nchi au Kampuni???

patience96

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
1,353
568
Nadhani Tz ni zaidi ya Li-Kampuni kuliko kuitwa nchi!!
Nini kinachoendelea ktk kampuni hii- oh sorry- nchi hii?
Ni vema ieleweke hivyo from the perspective of an Indian, American, Canadian,
Libyan, Malaysian, Bangladeshi, South African, Australian, and Chinese
Companies
operating in our country!

Bandugu nahitaji mwongozo wenu samahani!
 
Ahaaa,ni kwl ka li kampun flan iv tna private la ugenin ambalo ukifanikiwa kujikita ndan daaah!njema cna,kwan kampun c ina superior?je tz haina?assistnc&secretry wke,so ni kampun kubwa ambapo ndan yke kuna kampun ndog ambapo ndan unakuta kampun ka MTL,BMTL nk.ha ha ha ha tz nlikampun
 
Sio kampuni kwa sababu lengo kuu la kampuni ni kuhakikisha inatunisha mifuko ya wanahisa wake, kwa nchi wanahisa ni wananchi walipa kodi, ukiniambia Rwanda ni kampuni nitakubali lakini sio Tanzania
 
Ahaaa,ni kwl ka li kampun flan iv tna private la ugenin ambalo ukifanikiwa kujikita ndan daaah!njema cna,kwan kampun c ina superior?je tz haina?assistnc&secretry wke,so ni kampun kubwa ambapo ndan yke kuna kampun ndog ambapo ndan unakuta kampun ka MTL,BMTL nk.ha ha ha ha tz nlikampun

naona umeyakoroga koroga tu
 
Back
Top Bottom