Bando lazidi kuminywa, nani mtetezi wetu?

Bando lazidi kuminywa, nani mtetezi wetu?

Bado tozo za serikali huko Bank,

Kuna haja ya katiba na tume huru
Hatari ndugu, nimetuma laki 120, nmb kwenda nmb account kuangalia salio wamenifyeka 9900, maisha yashakuwa magumu sana , hakuna pakukimbilia
 
Ni mwez mmoja tu umepita Halotel kwa mwezi nilikua nanunua GB 11 kwa 10k sahivi 10k napata GB 5 yaani bando limepanda gharama kwa 50% tena kwa mara moja tu kwakweli inaskitisha sana bado tozo nkituma hela dah hali ni mbaya
 
Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez Bei 20000
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa Ni tsh 23000/
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Una ofisi au mahali maalum ambapo mtu anaweza kukufikia kwa urahisi na uhakika?
 
Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez Bei 20000
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa Ni tsh 23000/
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Acha utapeli mkuu
 
Dawa ni kuweka kamgomo baridi, hakuna kujaza kifurushi cha data, mpaka kieleweke. Nunua bando la sms la mwezi, na bando la muda wa maongezi la mwezi mzima kisha piga kimya.
...tatizo hatuna umoja na ujasiri huo, Mkuu. Mtapatana vizuri lakini utashangaa kuba jitu litanunua tu kifurushi....[emoji34]
 
Na ukiwapigia simu halotel hawapokei.nilitaka kuwatukana
 
...tatizo hatuna umoja na ujasiri huo, Mkuu. Mtapatana vizuri lakini utashangaa kuba jitu litanunua tu kifurushi....[emoji34]
Kwa uamuzi thabiti wa mtu mmoja mmoja, lazima mambo yawaendee, kombo, maana katika bilioni, ikipungua mia si bilioni tena. Mabadiliko uanza na mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom