Bando lazidi kuminywa, nani mtetezi wetu?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Natumia Vodacom na halotel, voda nilikuwa napata 1Gb kwa siku 3 tsh 1000 au 1Gb na dakk 100 kwa tsh 1500 kwa wiki, halotel 1GB kwa wiki.

Sasa voda wananipa 800Mb kwa wiki tsh 1500, halotel nao wameshusha hadi 600Mb kutoka 1024 bei ileile.

Vipi wadau huko kwingine?

Hivi yule Ndugulile bado yupo kwenye hii idara??
 
Ila hii ishu inazidi kua worse kila siku.
 
Natumia vodacom na halotel, voda nlikuwa napata 1Gb kwa siku 3 tsh 1000 au 1Gb na dakk 100 kwa tsh 1500 kwa wiki, halotel 1GB kwa wiki.
Sasa voda wananipa 800Mb kwa wiki tsh 1500, halotel nao wameshusha hadi 600Mb kutoka 1024 bei ileile.
Vipi wadau huko kwingine?
Hivi yule Ndugulile bado yupo kwenye hii idara??
mm bila 2000 sipati Gb 1 Dk 100 kwa wiki
 
Dawa ni kuweka kamgomo baridi, hakuna kujaza kifurushi cha data, mpaka kieleweke. Nunua bando la sms la mwezi, na bando la muda wa maongezi la mwezi mzima kisha piga kimya.
 
Mwenye nchi itakuw anatoa miongozo kwa makampun ili yaminye bando za data watu wasipoteze muda insta na porn sites
Wanatukomesha san sis wenye ela za ku unga unga
 
Dawa ni kuweka kamgomo baridi, hakuna kujaza kifurushi cha data, mpaka kieleweke. Nunua bando la sms la mwezi, na bando la muda wa maongezi la mwezi mzima kisha piga kimya.
Mkuu kuna watu wanategemea mtandao kuendesha maisha yao.
 
Airtel Bado hamna mabadiliko

2.2gb kwa 3,000
1.2gb kwa 2,000
500mb kwa 1,000
 
Watanzania hili lilitushinda
 
Mkuu kuna watu wanategemea mtandao kuendesha maisha yao.

wakome,ujue tunakwamba sanabu ya kutokuwa na sauti moja??

mkiwaacha hawa balale wiki bila bundle mbona kinaeleweka?mimi nawafanyia sana voda na ttcl.
akizingua huyu nahamia huku,mwezi tu wakionan huweki bundle wanapooza vifurushi.
 
Airtel Bado hamna mabadiliko

2.2gb kwa 3,000
1.2gb kwa 2,000
500mb kwa 1,000
Airtel nilikuwa nanunua elfu 20 ninapata dk 1500 na 12GB ila sasa hivi unapata 6GB na dakika zimepungua.
 
Asee Ndugulile ni kama mfumo ulimpiga chini kwahiyo hapa ndugu unakumbushwa tu kukaza roho na kubeba msalaba hakuna namna
 
Natumia vodacom na halotel, voda nlikuwa napata 1Gb kwa siku 3 tsh 1000 au 1Gb na dakk 100 kwa tsh 1500 kwa wiki, halotel 1GB kwa wiki.
Sasa voda wananipa 800Mb kwa wiki tsh 1500, halotel nao wameshusha hadi 600Mb kutoka 1024 bei ileile.
Vipi wadau huko kwingine?
Hivi yule Ndugulile bado yupo kwenye hii idara??

kodi mpaka kijambio subiri
 
Huu mtandao wa internet unasaidia baadhi ya makundi ya watu kuendesha maisha yao, kwa sasa kupitia search engines kama 'google' wanafunzi na watafiti wanaweza kupata maandiko ya kitaaluma kwa ajili ya masomo yao na kwenye kusaidia kwenye kufanya tafiti zaidi. Sasa serikali ikijikita tu kuthibiti watu wachache wanaotumia mtandao vibaya ikiwemo na wale wanaoishushia spana itakuwa imeathiri kundi kubwa sana la watu, hii inakuwa haina tofauti na vibibi vya kule kijijini kulipia road license vinaponunua mafuta ya taa kwa ajili ya kumulikia kwenye koroboi, kwani road license iliingizwa kwenye mafuta.....​
 
Natumia vodacom na halotel, voda nlikuwa napata 1Gb kwa siku 3 tsh 1000 au 1Gb na dakk 100 kwa tsh 1500 kwa wiki, halotel 1GB kwa wiki.
Sasa voda wananipa 800Mb kwa wiki tsh 1500, halotel nao wameshusha hadi 600Mb kutoka 1024 bei ileile.
Vipi wadau huko kwingine?
Hivi yule Ndugulile bado yupo kwenye hii idara??
Bila shaka Magufulist Nyererist atatutetea
 
Back
Top Bottom