Bando la halotel

Bando la halotel

Mi ni mhanga Mkuu Yaan Niliwapigia Wakanimbia Wata fix kutokana na Eneo nililopo Na sasa Lain inafanya Kazi kama Kawa nilikuwa na Tatizo kama Lako
Kwahiyo wewe kwa sasa ukijiunga ramadhan ni mwendo mdundo?
 
Ila hapa nilipo zamani ilikuwa inapiga mzigo balaa hata mzigo wa gb hata 30 ilikuwa inakimbia kama umeme ila sasa hivi ni kichefuchefu sijui kwa nini
wangese sana sa ivi, hua najiunga spidi inaanza kuchanganya saa 10 usiku uko, then baada ya mda H+ inakata, then inarudi inakata inarudi ma+mae, unakuta umeshusha gb 2 tu
 
App ya DENT inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha tu na si Mobile Money.

Link

https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 690 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1280 ambazo 690 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
Halotel now wako ovyo sana network haisomi ni emergency call mda wote yaani ni majanga aisee watu wanalalamika kinoma ni kilio kwa watumiaji wa halotel toka juzi leo siku ya 4 hamna kiti ukipiga 100 wanakuambia kuna tatizo wanarekebisha lakini mpaka hamna kitu nimeamua kuwahama now nimeachana nao aise unaweza usijue dunia inaendaje buree.
 
Wakuu, hivi kuna ambaye anatumia lile bando letu la kushusha vitu (heavy weight) 1000 internet bure kuanzia saa 6 mpaka sa12 asbh

Maana mara ya nne hii nachoma buku zangu hela wanachukua na kifurushi sipati.

Napenda kujua hilo kwa mnaotumia halotel.
Tumia la Ttcl la usiku sh 1000 gb 10 kwa muda huo
 
Back
Top Bottom