Mkuu hiyo haipoPiga *148*01*20#
Tigo wiki hii wepunguza kifurushi cha chuo...Yani kimekua cha ovyooo
Acha ubishi mkuu..kwa menu ya *148*00# -1 kuna ofa nyingine but sio kama za chuoSio kweli pata ushaur wa do santos hapo juuu, tena ni 1GB sasa.
line yako umesajilia chuo??piga *148*00# chagua ofa maalum,utaona university ofa
Unajisajili kwa ID ya chuo husika .... ukimaliza chuo usajili unaexpire....saiv wako strictly kwa wanachuo tu.mtatustua kama hilo gazebo litakuja tena vyuon kwenu
Acha ubishi mkuu..kwa menu ya *148*00# -1 kuna ofa nyingine but sio kama za chuo
Kwa menu ya *148*01*20# kifurushi cha wiki 1500 now wanatoa dk.100,sms 100 na Mb 100 wamepunguza kutoka dk500,msg 5000 na 500mb
Nipo tayari kurekebishwa